Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

HAKUNA KITU SIPENDI KAMA MWANAMKE ANIAMBIE KOJOLEA NJE

WAKATI CHUMBA NI SELF CONTAINER

naomba mniache tu naenda kujimwagia maji ntarudi

Labda Maliwato zao zina shida mmmh
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Binti yoyote ukimpa pesa wazazi wake wala hawakutafuti, mpe mimba uone[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Utatafutwa hadi Kibiti[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
62230508b6345869b2753fa60053ae4d.jpg

Mhehe ameshindwa kusolve mwisho kajitundika[emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mume karudi kutoka darsa, akamwambia mkewe tumeambiwa na shekh ukifanya tendo moja la ndoa sawa na kua makafiri hamsini mke akajibu alaa..basi kazi ikaanza usiku, mume akawa ajifanyia tu, mke kavumilia mwisho akapigaa keleke akasema, sasa mume wangu huwii makafiri tu waua mpaka waislamu wenzio mshenzii hebu nitokee hapaa utaniuaaa....uwwii
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Eti baba ananiambia nishakuwa mkubwa nihame nyumban nikapange...[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23]

Na mm nimemwambia siwezi kuhama mbona Yesu anaishi mbinguni kwa baba yake miaka yote.

Sihami ng'oo na hapa nasubir chai na vitumbua.

[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from Samsung smart tv using jamiiforums
 
Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela ni ya nini? Nikamwambia ni kifupi cha 100,000.

Na hapa hadi muhula huu uishe.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Aaaah hapana hii sasa imezidi mengine japo yalinikwaza lakini nilipiga moyo konde pamoja na kuangalia fursa na nini so niliyapokea japo kishingo upande ila hili la kuniunganisha group tuliosoma shule ya maziwa a.k.a vidudu a.k.a kindergarten hapana maana ni miaka dahari imepita wengine sidhani kama ninawakumbuka hapana jamani hivi nina mpango wa kuomba u admn wa group wakinipa imekula kwao.
 
Busha aka mshipa ungekuhusu aisee
b1c61b2393765a0677fc64550b5e0290.jpg

Kama hili[emoji115] [emoji115] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Hivi yule alosema mapenzi matamu na hayana mfano yuko wapi?[emoji15] [emoji15] muongo sana, inawezekana hajawahi kunywa Mirinda nyeusi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Simu ya mezani iliita, baba akamwambia mtoto akapokee.
Mtoto alikwenda, na baada ya kupokea akarudi kwa baba yake akicheka sana, akamwambia.
"Eti baba kuna mtu anasema anaitwa Nyundo anataka kuongea na wewe".

Huyo aliyepiga simu ni kweli anaitwa Nyundo lakini mtoto alidhani anatania!
 
*Kuna dem Kaweka status kua "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa" Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??*
*Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua*
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
*Kuna dem Kaweka status kua "Alichonipa Mungu Mwanadam hawezi kukiondoa" Nikamuuliza kwa Upole Bikra yako iko wapi..??*
*Ghafla namtumia sms haziendi nadhani mtandao utakua unasumbua*
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Nimelala Nikawa Naota... BILL GATE Ananiamsha.."Boss, Boss Amka Chakula Tayari"

....Eti Jaman Hii Sio Dalili Ya Malaria Kweli..??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Teena sugu kabsa[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom