Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Sio kila mzee ana busara[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] wengine ni wajinga wa zamani wameshazeeka[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Sio kila mzee ana busara[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] wengine ni wajinga wa zamani wameshazeeka[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0a42f91c304ed68dd52ef292a7e411ee.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman jaman, nafanana na mtoto wa emoj kweli mimi...Mungu anakuona![emoji23][emoji23]
Halafu sasa aliyempa huyo emoj mimba ni nani...nahisi alibubakari anahusika kwa namna flani na huo uonevu...mahari alichukua nani?
Numbisa hilo la mahari linakuhusu, nimetonywa wewe ndiye bib wa mtoto wa huyo emoj...[emoji28] [emoji28]
Hahahaha hako ka emoji kamegawa bure nahisi baba hajulikani
 
Messi is with a girl in the bedroom. Things are heating up and then, suddenly, he gets up and walks out of the room.

Moments later, he returns, flanked by another two little guys. “What are you doing?” the girl says, surprised. “I’m sorry,” he replies. “I just can’t do it without Xavi and Iniesta.”
 
Kuna watu wa aina 5 ni vigumu kuwashauri

Mwanamke aliependa

Mwanaume mwenye hela

Mfuasi wa gwajima

Mwanachama wa ccm

Washambiki wa arsenal
[emoji125][emoji125][emoji125]
Ukimaindi njoo unipige Niko geto
Utani wa ngumi huo hasa ya mwisho [emoji23][emoji23]
 
MAISHA NA VITUKO !!
Jana nilikuwa pale 5 Brothers Barbershop, akaingia jamaa na mtoto.

Jamaa akanyolewa nywele , akaomba na mtoto anyolewe pia, Mtoto alipoanza kunyolewa jamaa akaaga kwamba anaenda kumchekia dogo viatu dukani.
masaa matatu yakapita.

Vinyozi wakamuiliza dogo "Baba yako amekusahau nini?" Dogo akasema "Yule sio baba yangu, nilikuwa napita hapo nje, akanishika mkono na kuniambia TWENDE PALE TUKANYOLEWE BURE!!!![emoji1321]
hahhahahahahaha hatari sana
 
Basi utaondoka na stress..!

Stress ni nini??
Stress ni pale umeenda kijijini kwa bibi ako huku umebeba jeans zako tano zile ja mtindo wa kuchanika (chanika jeans) sasa siku ukazifua ukazianika ukaenda zako kutembea ile unarudi jioni unakuta bibi yako kazianua afu kazishona zote!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Future [emoji289]
.noma sana
 
IVI UKAENDA BAA ALAFU UKAKAA "COUNTER" unakunywa mdogo mdogo mara ghafla majambazi yakakuvamia hapo hapo Counter

SI NDO INAKUWA "COUNTER ATTACK" AU? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]   [emoji100][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom