Ni wachochezi?Dakika 10 zilizopita nimepiga simu polisi nikawaambia kuna watu 130 ambao siwafahamu wananifuata...
Polisi akaniambia uko wapi tutume msaada
Nikawajibu ni huku instagram
Basi polisi watawafuata hata huko Instagram kwa makosa ya kimtandao.