Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.
Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu…

Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maji..[emoji23][emoji23][emoji23]
Sipendagi kuchoshwa mim. [emoji35][emoji35][emoji23]
 
Watu wazima tuwe na mipaka ya kula vitu visivyo vya lazma...[emoji39][emoji39]

Sikia hii...:Baba baada ya kumaliza kuchinja Mbuzi akaenda kuchoma pumbu za Mbuzi jikoni..Mara Mbwa akachukua Pumbu...Watoto kwa sauti kubwa"Babaaa!" Mbwa kachukua pumbu zako...! Wakaanza kumfukuza acha Pumbu za Baba...Mbwa huyoooo…! kachukua Pumbu za Baba,...wewe rudisha Pumbu za Babaaaa! We acha Pumbu za Baba...Pumbu za Baba.. yaani mtaa mzima watu mshangao...Pumbu za Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Usicheke yangekukuta wewe ungejifungia ndani mwezi mzima...
 
Nilikuwa nauliza hivi[emoji134]‍♂

wadada mlio kwenye mahusiano na wazee hivi mama yako anajua una mpenzi ambae yeye alimkataa mwaka 1971 enzi hizo akiwa student??[emoji144][emoji144][emoji144]♂♂

Nipo zangu home ndo kwanza nimewasha...[emoji117][emoji377]
 
4cd34eef9d9a4285b89a40bcb87d92f9.jpg



LEO [emoji1369] TAREHE 8 MWEZI WA 2[emoji1321]
 
Mh.spika,kuna nusu ya wabunge ndani ya bunge hili ni wapumbavu sana.(meza pa!pa!pa!)mwongozo mh.spika mh.waziri mkuu atengue maneno yake.Ok basi nusu ya wabunge humu ndani si wapumbavu(meza pa!pa!a!pa!).Ni mh.Waziri mkuu wa zamani wa Zimbabwe.kumbe kufikiri ni kazi eeeh!
 
Hawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo.
Unaweza jikuta umekubali kuolewa hivi hivi bila kujijua...Akakuuliza Nikupeleke gheto.
Wewe ndio...eeh eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rafiki yangu alikuwa
amesinzia tukiwa darasani,
nikachukua simu yake
nikabadilisha alivyosave
namba yangu nikasave "lovely
dad" (ndivyo alivyokuwa
amesave jina la baba yake
mzazi)
Nikamtumia SMS "mwanangu
nimeshinda millioni 100 toka
BIKO, na sasa hivi tutakuwa
na maisha mazuri. Acha
shule njoo tupange tutafanya
biashara gani"
Rafiki yangu baada ya
kusoma sms akanyanyuka na
kukusanya kila kilicho chake
akaanza kuondoka.
Alipofika mlangoni mwalimu
akamuuliza unaenda wapi
bila kuomba ruhusa?
Akageuka akamwonyesha
mwalimu kidole cha kati,
akaachia mfyonzo mkali kisha
akasepa.
Sasa hivi ananisaka kinyama,
nani anajua sehemu nzuri ya
kujifichia [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji109][emoji82]
Haha nenda silia
 
[emoji767]NDOA HIZI WE ACHA TU
Mwanaume Mmojaa alikuwa anamlazimisha mkewe kufanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja mwanamke uzalendo ukamshinda na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa kumbe mumewe ana uume wa bandia!
Mwanamke alihamaki na kumwambia mume wake haya naomba maelezo haraka kabla sijakinukisha kwa majirani na marafiki zako?
Mwanaume akajibu Mimi ndio naomba maelezo makubwa mno,nataka uniambie hawa watoto wetu watatu wamepatikana vipi?
USICHEKE INATAKIWA TUJIFUNZE KITU HAPO KUPITIA SIMULIZI HIYO
 
Back
Top Bottom