Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*CAMERAMAN WA ENZI HIZO....* [emoji57][emoji57]

Makamera man walikuwa majeuri
kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii
Kamera ina likamba fulani jeusi
inaning'inizwa shingoni.....
Kameraman ana kabaskeli kake hapa...
nyuma kana begi lina picha za watu ambao hawajamaliza madeni.
Kamera man anakupiga picha leo
anakwambia picha yako utaipata panapo
majaaliwa mkanda ukijaa... unaweza
kusubiri miezi miwili...
Enzi hizo kamera man ndiye anayekupangia pozi gani ukae ili upigwe....
Kamera man anampanga hadi baba yako
mzazi kwenye picha hahahahah! Baba
anakuwa mpoleeee! Kamera man anapita na kabaskeli kake
watu wanamuita anaringa huyoooo!....
ukute msimu wa sikukuu mnaweka oda
kwa kameraman wiki mbili kabla....... akija
anaanza kwanza kula pilau na soda yake
ipo amehifadhiwa.... baada ya hapo ndo anapiga picha......
Enzi hizo picha inatoka umefumba
macho, na unailipia... sio siku hizi mtu
anapiga picha mia anachagua moja ndo
anaipost mtandaoni......
*Enzi hizo sisi watoto* *tukililia picha tunapigwa* *flash kilio kinaisha*
*hapohapo.......* [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh kali
 
Unaenda *"The Kilimanjaro Hyatt Hotel"* unaona menu imeandikwa:

"Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole."

Price: TZS 46,500/=

Unaagiza!

Ukiletewa ndio unagundua kwamba ni makande [emoji15][emoji779]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji779]

Halafu ukikumbuka Kibaigwa gunia la mahindi la kilo 100 ni sh 40,000/=
The world is not fare[emoji15][emoji779][emoji23][emoji23][emoji779]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Maajabu
Kwenye Jamai Raja simu zote zina mlio mmoja [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
2.jpg
 
Unaenda *"The Kilimanjaro Hyatt Hotel"* unaona menu imeandikwa:

"Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole."

Price: TZS 46,500/=

Unaagiza!

Ukiletewa ndio unagundua kwamba ni makande [emoji15][emoji779]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji779]

Halafu ukikumbuka Kibaigwa gunia la mahindi la kilo 100 ni sh 40,000/=
The world is not fare[emoji15][emoji779][emoji23][emoji23][emoji779]

Daaahh hii ilishawahi nikuta Arusha pale Fifis asee, niliona kahawa flani nikaagiza tshs 8,000 kudadeki ilivyokuja kwanza picha linaanza kwenye vikombe ni kama vile vya watembezaji kahawa mtaani vya Tshs 100 kuja kuionja ni chunguuu vilevile kama za wauza kahawa jina lilinichanganya walahi Niliondoka nalaani asee
 
Ulikunywa kahawa ya paka...
 
Unaenda *"The Kilimanjaro Hyatt Hotel"* unaona menu imeandikwa:

"Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole."

Price: TZS 46,500/=

Unaagiza!

Ukiletewa ndio unagundua kwamba ni makande [emoji15][emoji779]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji779]

Halafu ukikumbuka Kibaigwa gunia la mahindi la kilo 100 ni sh 40,000/=
The world is not fare[emoji15][emoji779][emoji23][emoji23][emoji779]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee
 
Na jinsi vyuma vilivyokaza, nimemtumia mtu mchango wa harusi, akaniuliza mbona hujatuma na ya kutolea? Nimemuambia anirudishie hela nliyomtumia, hajanijibu mpaka sasa hivi nahisi simu yake imeisha chaji, akiichaji atanirudishia...
 
Kuchati na msichana ambaye hamfahamiani ukamuomba akutumie picha akakutumia, watu wa kubeti tunaiita first half win
Kesho yake akianzia na UMEAMKAJE MY tayari Double Chance hapo ni kumpiga MUHINDI TUUUUU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
BAADA ya miaka minne ya kuajiriwa bila hata kuongezwa mshahara au hata marupurupu, Juma Hassani aliamua kwenda kwa bosi wake kulalamika. Jibu alilolipata kwa bosi wake ni kwamba, hakupewa nyongeza wala marupurupu kwa sababu HAKUSTAHILI
Akauliza kwa nini?
Akaambiwa katika miaka minne uliyofanya hapa, hujafikisha hata mwaka mmoja. Akasimama na kuanza kufoka, akaambiwa kaa chini, na majibizano yakawa hivi;

Bosi: Mwaka una siku ngapi?

Juma: 365 au 366.

Bosi: Huwa unakuja kazini wikiendi?

Juma: Hapana

Bosi: Hebu piga hesabu mwaka una jumamosi na jumapili ngapi kisha zitoe katika 366.

Juma: Jumamosi 52 na Jumapili 52 jumla unapata siku 104. Ukitoa katika siku 366 unabaki na siku 262.

Bosi: Siku ina masaa 24, wewe umafanya kazi masaa mangapi?

Juma: Masaa nane kwa siku

Bosi: Sasa nipigie hesabu masaa nane katika masaa 24. Nane kwa 24 inaingia mara ngapi?

Juma: Inaingia mara tatu mkuu

Bosi: Sasa ukizigawa zile siku 262 kwa masaa uliyofanya kazi yaani uigawe kwa tatu kulingana na masaa uliyofanya kazi unapata siku ngapi zilizokamilika?

Juma: 87

Bosi: Kwa mujibu wa saa ulizofanya kazi kwangu, ni sawa na siku 87, tuendelee na mahesabu?

Juma: Tuendelee.

Bosi: Unakumbuka uliumwa wiki mbili nikakupa likizo? Na ulishachukua likizo yako ya kawaida siku 28 na ukaenda msibani wiki moja hebu piga hesabu vizuri.

Juma: 14 + 28 + 7 = 49.

Bosi: Toa katika siku 87

Juma: 42

Bosi: Toa sikukuu za Idd, Maulid, Uhuru, Mapinduzi, Pasaka, Krismas, Nyerere Day, Mwaka mpya, Mei Mosi, Sabasaba, Nanenane na ile wiki iliyonyesha mvua kuuubwa nikawaruhusu mpumzike.

Juma: Bosi naomba nikaendelee na kazi.

Bosi: Malalamiko vipi?

Juma: SILALAMIKI TENA[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
BAC MKUU WA MKOA WA MBEYA akawauliza mafarisayo na wananchi WA MBEYA "niwape SUGU au YANGA ambaye Hana HATIA..... (mkuu wa Mkoa alikuwa anataka kumtoa YANGA mikononi mwa wana MBEYA).... Wananchi WA MBEYA wakapaza Sauti zao...... tunamtaka SUGU, tupatie SUGU, Tupe SUGU, Msulubishe YANGA, Msulubishe.... Mkuuu wa mkoa akauliza je huyu asiyekuwa na HATIA (YANGA) asulubiweee na apigwe misumari bila kuwa na hatia?, wakasema asulubiweeeee, Bac MKuu wa mkoa akanawa mikono , kisha akasema dhambi iwe juu yenu, juu ya watoto wetu Bac MKUU WA Mkoa Akamfungulia SUGU na akamtwaaa YANGA na akawapatia wana PRISONS wamfanye watakalo. Basi wakamchukua wakamfanyia kila Dhihaka wakampigilia misumari 2 na kumtundika SOKOINE wakaweka na kibao juu ya msalaba huyu ndiye CHURA HALISI, basi Alikuwepo Akida mmoja anaye toka SIMBA kusema HAKIKA Huyu CHURA Alikuwa na HATIA.
 
Back
Top Bottom