Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi omba uraia kabla hujaitwa mwamiaji haramuMi si mwenyeji wa hapa....nimepotea
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kweli huku watu wanatembelea vichwa na siyo miguu...vioja tupu.MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?
MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaaa umetishaStress ni nini
Stress ni pale upo kuelekea kazini kwa bahati mrembo anakuomba lift
na bahati mbaya hali yake inabadilika unamkimbiza hospital, baada ya muda doctor anatoka anakwambia hongera, unajiuliza hongera ya nini ana kwambia mkeo ana mimba una tahamaki na kumwambia doctor huyu sio mke wangu lakini kale kadada kwa sauti ya nyororo kanamwambia doctor ni mimba yake, unapanic doctor anakwambia hebu njoo nikupime baada ya mida doctor anatoka anakwambia ni kweli mimba sio yako unashusha pumzi lakini anakwambia nilivyokupima nimegundua huna uwezo wa kudharisha unapatwa na mshitiko na kupata na big stress na kufikiria kama sina uwezo wa kudharisha wale watoto watatu nilio nao ni wa nani.!!?
Nimecheka kwa sauti pekeyangu kwenye daladala hadi nahisi wananiona mi mtambo [emoji22] [emoji23] [emoji23]Mambo ya daladalan bhana
Boy: Dada mambo
Girl: mwanaume suruali nikupeleke WAP?
Boy: wanapouza mashati!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka had nmepitiliza kituo naona mahali pame andikwa miltar lugalo afu niko ndan ya fensi naskiza atae kuja nielkeza[emoji12]
Hii kuna ka ukweli hapa*UKIONA HUWEZI UMIA TENA KWENYE MAPENZI KAMA ZAMANI JUA UMESHAANZA KUWA MALAYA*[emoji3][emoji3][emoji124]♂[emoji124]♂[emoji124]♂
Zimetoka kwenye kwapa*KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI*
[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*Duniani Hakunaga mtu anaye tembea haraka haraka kama mwanamke anaye enda kufumania*
[emoji38][emoji3][emoji3]
hiyo greet unamaanisha nini mkuuSome people can pretend to the extent that even on the last day. If u see them in Hell fire they will deny and tell you they came to greet someone