Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

Unapojenga ya nyuma, je muda huo ya mbele unakuwa umeshajenga? Au unajenga ya nyuma bila kuwepo ya mbele? Halafu kwa nn useme nyumba ya nyuma badala ya kusema kujenga nyumba 2?
 
Dah!

Way way back awamu ya pili, nyumba tuliyokuwa tunaishi ilikuwa na 'nyumba ya nyuma' kama ulivyoitaja bibie...(eneo naliweka kapuni ila ni maeneo prime kwa Dar)

Sasa tulikuwa tunaishi na cousin bro's fulani, wale jamaa ni kama waliigeuza kile kijumba kuwa danguro, wadada walikuwa wanapishana tu toka 'kupigwa miti'...

Ila kama kawaida, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, jamaa sasa hivi wapo six feet under walishatafunwa na miwaya...
Nyumba ya nyuma unaweza kuipangisha na kukuongezea kipato.
 
Inawezekana...

Lakini watu wengi hawapendi ishi na wapangaji kwenye eneo moja...
Maeneo ya Mbezi Beach watu wengi wanapanga boys quater, unakuta una self contained yako mwenyewe.
 
Nyumba ya nyuma maana yangu uwe nachepuo. Unaupigisha rungu haswaa
 
Hahaaa kweli tukutane JF tu baasi....huu uzi unaonyesha wazi watu wasivyopenda wagen
Binafs sipendagi kwenda kwenda ovyo kwa watu.

Na wanangu wote nimewafundisha ivyo, kwenda kwenda kwa watu ovyo sitaki.

Na Mimi sipendi Watu waje waje ovyo nyumbani kwangu,

Marafiki Zangu wote tukutane uko makazini, bar au mitaani uko. Kwangu sitaki, ukiikosa appointment na Mimi uko nilikotaja.
NIKISHAFIKA KWANGU USINIFATE.

Ata niende mkoa nnaojua Kuna ndugu Zangu,
Ntaenda TU kusalimia ila kama Ni ishu ya kulala , ntalala Zangu guest/lodge.

Kulala Kwenye nyumba za Watu sitaki KABISA.
 
Kwaiyo umuhimu wake ni kumsaidia mgombea wa chadema alipoishiwa hela ya kulala gest ?au mlimkaribisha membe?
 
Ambaye ameelewa anieleweshe maana bila picha naona chenga tu
 
Back
Top Bottom