Mkuu nimekuja pm mbona kimya mkuu wanguNyumba ya nyuma iwe na mlango wa nyuma huko huko
Nyumba ya nyuma unaweza kuipangisha na kukuongezea kipato.Dah!
Way way back awamu ya pili, nyumba tuliyokuwa tunaishi ilikuwa na 'nyumba ya nyuma' kama ulivyoitaja bibie...(eneo naliweka kapuni ila ni maeneo prime kwa Dar)
Sasa tulikuwa tunaishi na cousin bro's fulani, wale jamaa ni kama waliigeuza kile kijumba kuwa danguro, wadada walikuwa wanapishana tu toka 'kupigwa miti'...
Ila kama kawaida, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu, jamaa sasa hivi wapo six feet under walishatafunwa na miwaya...
Inawezekana...Nyumba ya nyuma unaweza kuipangisha na kukuongezea kipato.
hahahahah umenifumania..Mkuu nimekuja pm mbona kimya mkuu wangu.
Dah! Mkuu unaniangusha mkuu!?hahahahah umenifumania..
Binafs sipendagi kwenda kwenda ovyo kwa watu.Hahaaa kweli tukutane JF tu baasi....huu uzi unaonyesha wazi watu wasivyopenda wagen