Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka picha tuoneAm Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.
Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.
Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.
Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.