kama una vigezo vyote vya kuwa Mume Bora.

kama una vigezo vyote vya kuwa Mume Bora.

Napenda wanawake wanaojiamini na kusimamia wanachoamini kama wewe. I am interested

Nina sifa zote na ziada hebu PM tuanze kuweka mambo sawa
 
Nampenda Penda, Naaaaaani,
Msichana mmoja, naaaaaaani,
Mweupe kidogo yaaaaaaani, nampenda nampenda.

Nyuma kajaza, naaaani,
Mfano wake, naaaaani,
Anakwenda kwa pozi, yaaaani nampenda nampenda!!!
 
Ameen,
japo Mungu nae amesema 'Jisaidie nami ntakusaidia'
ila nina imani mwenye nia na mimi atapatikana tu.
Mkuu hii imeandikwa wapi.. Sijawahi kuisoma kwenye vitabu vitakatifu.. mimi naamini hamna chochote unachweza kufanya bila uweza wa Mungu.
 
ni 'sticky' ya kichina

Adabu na heshima iwe sehemu ya maisha yako ya kila siku,sawa?
Kuna wasaa wa utani na wa u-serious,
Sikujui,hunijui,
na sina haja ya kukufahamu umesikia.

P'se usilete shobo na muchknow kwenye thread ya mwanamke usiemjua.
Utakuja kuolewa.
 
hongera saana Tina, uko vyema na una nia kweli...!
 
Adabu na heshima iwe sehemu ya maisha yako ya kila siku,sawa?
Kuna wasaa wa utani na wa u-serious,
Sikujui,hunijui,
na sina haja ya kukufahamu umesikia.

P'se usilete shobo na muchknow kwenye thread ya mwanamke usiemjua.
Utakuja kuolewa.

kumbe huu ndio wasifu wako??unataka kuoa sio kuolewa?
 
Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.

Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.

Duh!! Masikini mimi inamaana sisi weupe hatutakiwi, vigezo vyote nameet. Ok may be sio bahati yangu
 
Hivyovyote ninavyo lakini mimi kabila langu ni mkuryaaa wa Tarime je kwahapo imekaaje??Kigezo cha mwisho..kwa wasifu wa mwanamume..ndo..kama kusema huyo ni lijali!! AmKATRINA
 
Last edited by a moderator:
Mnamjua mnasikia?!
Nshamwoa tayari! Kama anabisha aje hapa abishe!
 
Adabu na heshima iwe sehemu ya maisha yako ya kila siku,sawa?
Kuna wasaa wa utani na wa u-serious,
Sikujui,hunijui,
na sina haja ya kukufahamu umesikia.

P'se usilete shobo na muchknow kwenye thread ya mwanamke usiemjua.
Utakuja kuolewa.

we bidada nadhani hujamuelewa mkuu
Jackbauer .. hebu pitia sticky za JF uone zina sifa gani alafu rudi kwenye hii yako .. soma nyakati teacher usiwe kama mgeni humu JF
 
tehee...teheee.....mi naogopa waalimu kwa migomoni hakikishie kuwa hutaleta mgomo ndani niweze kujisajiri
 
Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.

Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.
mi naomba uniunganishie na mwalimu mwenzako potabo kidogo awe na mvuto na mchangamfu.
kama ambavyo hutanii na mimi sitanii katika hili..
'santi.
 
All the best mdada.... mungu anatumia njia nyingi kukutanisha watu... utampata wa haja ya moyo wako....
 
Am Tinnah Mozes Shehoza also known as 'Katrina.
Natafuta Mwanaume mkamilifu wa akili na rijali kwa ajili ya kuwa mume wangu endapo tutawezana kitabia.

Wasifu wake.
Awe Mweusi kidogo,
Awe simple ktk mavazi,
Ajue hitaji la mwanamke ni nini,
Awe na elimu angalau ya Form 4,
Awe ameajiriwa au amejiajiri,
Sichagui dini wala kabila,
Awe na mapenzi ya dhati,
Asiwe mnywaji sana,
Asiwe mwembamba sana,
Mwisho asiwe mkorofi.

Wasifu wangu:
Mdada Mnene japo si sana,
Nina Elimu ya Form 4,
Nimeajiriwa Serikalini,am a teacher,Primary school in Dsm,
Ni Mkatoliki,
Kabila Msambaa,
Ninavutia japo si 100%,
Rangi yangu ni Chokleti yenye maji ya kunde,
Ninakunywa kidogo sana,
Napenda sana kucheki Movie hasa kwenda Threatre.

Kama unahs una vigezo unaweza kuni Pm,au tumia njia yoyote ile.
Asanteni.
tanga,,kunani paleeeh,mbona kila kitu pale kinakufa//tanga,,,,,mona kigezo cha afya hakitajwi,,,ume overlook au,,,hiv test,,magonjwa ya kurith,,mf,,,umalaya,,,,umasikinndorobo,,,kifafa kansa,,athma,wehu,utaahira,,kuolewa na kuachika,,,funguka
 
NABISHAA,umemuoa nani wewe?
Waachie wenye utayari wao.

Jibu nshalipata!.
Try to find another one and make sure to do 4 those coming up as u did to.........!
Coz to get a best apple u have to choose in a hundred apples.
 
Back
Top Bottom