Kama unadhani wasanii wa kike Tanzania wanavaa vibaya, basi hujamuona Rihanna

Kama unadhani wasanii wa kike Tanzania wanavaa vibaya, basi hujamuona Rihanna

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Wanawake wana dunia yao kimavazi, na nadhani wanahitaji kuwekewa "brake" maalumu duniani kote.

Tukiendelea hivi, baada ya miaka 5 wanawake watatembea uchi wa mnyama. It is too much!

Hebu mtazame Rihanna hapa chini.

1722160301363.jpg
 
View attachment 3054926
Hilo tako lenyewe limeshachokwa analazimisha Kimi Rihanna kwa pikipiki.

Siku nyigine atacheza Porno hadharani kumantain Popularity
 
Back
Top Bottom