Kama unadhani wasanii wa kike Tanzania wanavaa vibaya, basi hujamuona Rihanna

Huyo yuko kazini hizo ni brand zake zinaitwa fenty sauvage .........kawa mpaka Bilionare kwa huo mzigo .... sasa tofautisha hawa kanga manyoya wadangaji vidagaa papa kazi kuambukizana yutiyai na gono............swali ni wakibongo wanatangaza nini ? Au ndio magonjwa tour???
 
Hizi ndio nyuzi za kujenga sasa, hata huyo Rihana mbona misioni tatizo kwenye mavazi yake mkuu...🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…