Kama unadhani watu wapo Single kimakosa, Ndoa itayafungua hayo Macho yako makubwa

Kuna mwingine huko katumia viagra kwaajiri ya kumkomoa mwanamke sasa kakutana nacho kumbe kaji overdose [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Doh na huyo mwanamke hakutokea? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni hivyo hakuna sababu ya kuoa
 
Ukitaka uishi kwa amani kwenye ndoa oa binti wa kiislam ,
Dah, nimelike hoja yako,
Lakini ni Binti wa kiislam yupi atakaekupa amani!
Wale wacheza vigodoro kina nani sijui ndala ndefu!
Bado hata kwenye hili kundi panahitajika 'suitable vetting'.
 
Wa kwetu Wana athiriwa na European culture.
Nadhani culture hii haifanyi vizuri kwenye ndoa.
 
Ujumbe umenyooka sana
 
Huyu yeye ni Mfilisti achilia mbali yule Mtibeli, kuna hekima nyingi sana humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…