Kama unadhani watu wapo Single kimakosa, Ndoa itayafungua hayo Macho yako makubwa

Kuna mwingine huko katumia viagra kwaajiri ya kumkomoa mwanamke sasa kakutana nacho kumbe kaji overdose [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Doh na huyo mwanamke hakutokea? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume hawaoi kwa ajili ya kutafuta furaha, hilo siyo lengo la ndoa kwa wanaume. Lengo kuu ni kuendeleza kizazi.

Wanawake wanaolewa kutafuta furaha. Ndoa kwa mwanamke ni furaha kubwa sana sana.

Shida wanaume tumesahau tunaoa kwa ajili gani..... Mwanaume anaoa ili kuendeleza kizazi chake, au uzao wake, haoi kwa ajili ya kuifurahisha jamii au mtu yeyote.

Vitabu vitakatifu vyenyewe vinaonesha manabii na watakatifu walikuwa wanapambana sana kuhakikisha wanapata watoto wa kuendeleza kizazi au urithi wao.

Cha msingi kama mwanaume, hakikisha wanao wa kuendeleza kizazi wanazaliwa ndani ya ndoa, hata ukipata wa nje sio kosa maana hata Ibrahimu mwenyewe alikuwa na Isaka (Mtoto wa Sara, mke halali) na Ishmael (Mtoto wa Hagari, kijakazi wake). Pia Ibrahimu alikuwa na watoto wengine 6 ambao alizaa na masuria.

Hivyo wanaume oeni mkiwa na lengo 1 tuu, kuendeleza kizazi. Msioe kwa kutafuta furaha. Furaha ya mwanaume haijawahi kuwa ndoa.

Wanaume acheni kujifunga katika mawazo ya kwamba ukioa ndiyo hauruhusiwi kuwa na masuria. Kama una uwezo haikatazwi kuwa na masuria. Ila siyo lazima. Kama unaona mkeo anakutosha basi tulizana na mkeo.

NDOA NI FURAHA KWA MWANAMKE, KWA MWANAUME NI KIENDELEZA KIZAZI.
Kama ni hivyo hakuna sababu ya kuoa
 
Ukitaka uishi kwa amani kwenye ndoa oa binti wa kiislam ,
Dah, nimelike hoja yako,
Lakini ni Binti wa kiislam yupi atakaekupa amani!
Wale wacheza vigodoro kina nani sijui ndala ndefu!
Bado hata kwenye hili kundi panahitajika 'suitable vetting'.
 
Mabinti wengi wa kikristo wapo kama wamechanganyikiwa wakiolewa na hawajui wanachokifanya kwenye ndoa, tena awe mlokole nikupe pole.

mimi nitaoa binti wa kiislam ila nitajitahidi ni mgeuze iman yake na ikishindikana nitajua cha kufanya.

Hawa mabinti wamefunzwa vyema sana na wanajua wanachofanya ni mabinti wanajua sana maana ya ndoa na sijui hawa wa kwetu wana kwama wapi
Wa kwetu Wana athiriwa na European culture.
Nadhani culture hii haifanyi vizuri kwenye ndoa.
 
Wanaume hawaoi kwa ajili ya kutafuta furaha, hilo siyo lengo la ndoa kwa wanaume. Lengo kuu ni kuendeleza kizazi.

Wanawake wanaolewa kutafuta furaha. Ndoa kwa mwanamke ni furaha kubwa sana sana.

Shida wanaume tumesahau tunaoa kwa ajili gani..... Mwanaume anaoa ili kuendeleza kizazi chake, au uzao wake, haoi kwa ajili ya kuifurahisha jamii au mtu yeyote.

Vitabu vitakatifu vyenyewe vinaonesha manabii na watakatifu walikuwa wanapambana sana kuhakikisha wanapata watoto wa kuendeleza kizazi au urithi wao.

Cha msingi kama mwanaume, hakikisha wanao wa kuendeleza kizazi wanazaliwa ndani ya ndoa, hata ukipata wa nje sio kosa maana hata Ibrahimu mwenyewe alikuwa na Isaka (Mtoto wa Sara, mke halali) na Ishmael (Mtoto wa Hagari, kijakazi wake). Pia Ibrahimu alikuwa na watoto wengine 6 ambao alizaa na masuria.

Hivyo wanaume oeni mkiwa na lengo 1 tuu, kuendeleza kizazi. Msioe kwa kutafuta furaha. Furaha ya mwanaume haijawahi kuwa ndoa.

Wanaume acheni kujifunga katika mawazo ya kwamba ukioa ndiyo hauruhusiwi kuwa na masuria. Kama una uwezo haikatazwi kuwa na masuria. Ila siyo lazima. Kama unaona mkeo anakutosha basi tulizana na mkeo.

NDOA NI FURAHA KWA MWANAMKE, KWA MWANAUME NI KIENDELEZA KIZAZI.
Ujumbe umenyooka sana
 
Huyu yeye ni Mfilisti achilia mbali yule Mtibeli, kuna hekima nyingi sana humu.
 
Back
Top Bottom