Kama unaenda kwa Mkapa leo kuishangilia Zesco kapimwe akili

Kinyonyoke

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2016
Posts
3,498
Reaction score
13,138
Leo kutakukuwa na game ya kukata na wembe kati ya watetezi wa nchi dhidi ya wageni Zesco United pale katika dimba la mkapa.

Young Africans ndio timu pekee inayowakilisha nchi katika michuano hii mikubwa kabisa barani Africa hasa baada ya wadau mikia kuangukia pua kwa aibu ya mwaka kwa kusuuziwa rungu na UD Songo jina ambalo ukilitaja kwa shabiki yeyote wa mkia jicho atakalokuangalia kama ingalikuwa ni silaha basi ni AK47.

Kinachonishangaza ni hawa Mashabiki wa MIKIA kupumbazwa na kupofushwa kwa kiwango cha juu na kipigo cha suprise walichokipata dhidi ya watoto wa mujini UD Songo mpaka kufikia hatua ya kukubali kuolewa bila mahari na Zesco United.

Sasa ninyi na mlioamua kuwapa 071... wote mtaabika vibaya mno pale taifa halafu mnanishangaza sana hivi hamjui Dar Es Salaam Young Africans ndio wakombozi wenu?

Njooni kwa wingi mumuone CR7 Molinga straika Mbavu akifanya yake Taifa na mshuhudie namna mme wenu Zesco anavyofanyiwa matusi leo.

Jambo moja la msingi kwanini mnateseka?
Yanga akifungwa au kutolewa katika michuano hii anatua zake Shirikisho hana la kupoteza nyinyi mikia kwani mnashindania kombe gani msimu huu?
😀

#msimuhuumtapatataabusana
#napendasoka
#utaniwajadi
#chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mm mwanayanga mwenzio mdau katika jambo ambalo mashabiki wenzangu mnanikera km kauli ya "hata tukitolewa tunaenda shirikisho" kwann tuweke kutolewa? sio mara mara mbili naskia hii kauli!
 
FB_IMG_15683956741574606.jpeg
 
Yaani kinachonishangaza unaita mbumbumbu wenzio afu wewe hata maana ya kipigo ukijui.
Eti wameshushuwa kipigo, huko vyurani hicho ndo kipigo.
Basi ka kile ni kipigo kile cha Ruvu shouting ni sunami .
 
Mkija ligi kuu mnakutana na mpapaso wa ruvu shooting...
ligi kuu ndio ujinga gani, Yanga ya kimataifa ligi yetu ni KLABU BINGWA AFRICA NA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, hiyo ligi kuu ya vodacom tunawaachia simba waendelee kuhonga marefa na kufunga magoli ya offside kama lile goli la kagere jana na mtibwa
 
Mm mwanayanga mwenzio mdau katika jambo ambalo mashabiki wenzangu mnanikera km kauli ya "hata tukitolewa tunaenda shirikisho" kwann tuweke kutolewa? sio mara mara mbili naskia hii kauli!

hii ni kuonesha kuwa Yanga ni mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom