Kama unaenda kwa Mkapa leo kuishangilia Zesco kapimwe akili

Mbona mwaka jana mlishangilia wa Algeria, mkaja mkashangilia Al Ahly, mkaja mkashangilia Nkana ?
 
Mkuu sikuwahi kujua kwamba na wewe ni kilaza namna hii, kwenye hili naomba ukaanze kupimwa akili wewe mwenyewe. Umesahau mwaka jana mpaka nlijifunza Ki-Congo, au ulidhani malipo ni hadi mbinguni?. Wenye uwezo wa kushangilia acha washangilie labda mtajifunza.
 
Mbona mwaka jana mlishangilia wa Algeria, mkaja mkashangilia Al Ahly, mkaja mkashangilia Nkana ?
Shangaa na wewe leo hii mapovu yanawatoka kama wamelishwa omo yanga bhana chefuuu[emoji57]
 
Yanga tukitolewa na zesco haooo kombe la shirikisho kwenye makundi, kimataifa bado tupo sana
Huko ndiko kwa Yanga, miaka 2 mfululizo pointi 3, wakishiriki mwaka huu, watafikisha pointi 4.5 ambazo labda zitatupa nafasi nyingine 4 kwenye mashindano ya CAF.

Vv
 
Fact jibu mfano Azam fa cup winner je naniliu bingwa Wa nni msimu uliopita sio enz za mababu
Kwahyo UEFA timu zote zinazoshiriki ni mabingwa wa ligi zao uko ulaya? na unafikiri timu zote zinazoshiriki CAF Champions ni mabingwa kwenye ligi zao? Mpira mmeanza fuatilia juzi nyie
 
Kwahyo UEFA timu zote zinazoshiriki ni mabingwa wa ligi zao uko ulaya? na unafikiri timu zote zinazoshiriki CAF Champions ni mabingwa kwenye ligi zao? Mpira mmeanza fuatilia juzi nyie
Umeulizwa jibu kachukua kombe gani basi tunahitaji ayo majibu kmc ajachukua kombe lolote lakin kashiriki nimeanza kushabikia juzi mim jibu hili simba alikua bingwa 2007 ligi ndogo finali alicheza na nani matokeo yalikuaje ?? Na mechi ilichezwa wapi mtani usipaniki jibu maisha yaendelee ndio mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…