Akitafutwa kama Khadija Kopa nitagMaduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" ambayo itaanza kurushwa kupitia You Tube kuanzia tarehe 16 June 2025.
Kampuni ina tafuta wanao fanana na celebrities wafuatao ili washiriki kwenye documentary hiyo kama celebrities hao.
Celebrities wenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Tupac Shakur.
2. Biggie Smalls
3. Faith Evans ( Huyu tayari yupo mdada shombe shombe)
3. Lil Kim ( Huyu tayari yupo Lil Kim mweupe ila bado anatafutwa Lil Kim mweusi)
4. Puffy
5. Lil Cease.
6. Chino XL
Kama unajijua unafana na moja wapo Kati ya mastaa hao basi andika barua pepe yako, ambatanisha na picha yako kwensa email ifuatayo
. ......................................................................
maduskodusko700@gmail.com
.......... ....................................................... .........
Deadline ni June 12, 2025.
.. .........
Changamkia fursa kijana
Kwa ajili ya WaKENGEMkuu, hili tangazo ni kwaajili ya wakenya ama watazama....🤔
Kwa kutumia tu Gmail, tayari hili tangazo ni feki asilimia 100%Kama unajijua unafana na moja wapo Kati ya mastaa hao basi andika barua pepe yako, ambatanisha na picha yako kwensa email ifuatayo
. ......................................................................
maduskodusko700@gmail.com
Maduskodusko Entertainment( Dar Es Salaam, Tanzania) ni kampuni inayo jihusisha na uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni. Kampuni ina tayarisha documentary kuhusu kitabu kinacho itwa " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP" ambayo itaanza kurushwa kupitia You Tube kuanzia tarehe 16 June 2025.
Kampuni ina tafuta wanao fanana na celebrities wafuatao ili washiriki kwenye documentary hiyo kama celebrities hao.
Celebrities wenyewe ni kama ifuatavyo:
1. Tupac Shakur.
2. Biggie Smalls
3. Faith Evans ( Huyu tayari yupo mdada shombe shombe)
3. Lil Kim ( Huyu tayari yupo Lil Kim mweupe ila bado anatafutwa Lil Kim mweusi)
4. Puffy
5. Lil Cease.
6. Chino XL
Kama unajijua unafana na moja wapo Kati ya mastaa hao basi andika barua pepe yako, ambatanisha na picha yako kwensa email ifuatayo
. ......................................................................
maduskodusko700@gmail.com
.......... ....................................................... .........
Deadline ni June 12, 2025.
.. .........
Changamkia fursa kijana
Kwamba tufungue website ya laki tano au milioni ili tupate : info@maduskodusko.com?Kwa kutumia tu Gmail, tayari hili tangazo ni feki asilimia 100%
🤓 Wakimtaka TI NIPO HAPAWakitaja snop dog uni tag
Hao ndio graduates wa kitanzania dada angu kujitia ujuaji mwingi kichwani watupu.Kwamba tufungue website ya laki tano au milioni ili tupate : info@maduskodusko.com?
Hela yote hiyo kwa sababu ya upuuzi?
Are a government institution?
Ficha ujinga wako mkuu
Mkuu wanasema wasiwasi ndio akili. Akili inaweza kuwa ndogo au kubwa. Wasiwasi mwingine una ashiria kwamba mhusika ana akili ndogo.MTEGO HUUU. MJICHANGANYE MZIJE ANZISHA UZI za kulia lia.
Hao ndio graduates wa kitanzania dada angu kujitia ujuaji mwingi kichwani watupu.
Akikujibu uni tagMkuu wanasema wasiwasi ndio akili. Akili inaweza kuwa ndogo au kubwa. Wasiwasi mwingine una ashiria kwamba mhusika ana akili ndogo.
Sasa kwa mfano wewe wasiwasi wako kwenye post ya mtoa hoja upo kwa misingi ipi?
Kwamba watu wanataka kupigwa?
Ni watu wangapi Tanzania hii wana fanana na Tupac au Biggie au Lil Kim?
Hawafiki hata kumi.
Sasa anawapiga vipi? Kwamba anawaambia watoe hela au?