Kama unafanana kimuonekano na celebrities wafuatao, fursa hiyo hapo chini.

Kama unafanana kimuonekano na celebrities wafuatao, fursa hiyo hapo chini.

Mkuu wanasema wasiwasi ndio akili. Akili inaweza kuwa ndogo au kubwa. Wasiwasi mwingine una ashiria kwamba mhusika ana akili ndogo.

Sasa kwa mfano wewe wasiwasi wako kwenye post ya mtoa hoja upo kwa misingi ipi?

Kwamba watu wanataka kupigwa?

Ni watu wangapi Tanzania hii wana fanana na Tupac au Biggie au Lil Kim?

Hawafiki hata kumi.

Sasa anawapiga vipi? Kwamba anawaambia watoe hela au?

Una IDs nyingi.
 
Back
Top Bottom