A Addons JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 873 Reaction score 1,216 May 27, 2025 #21 Malipo bei gan?
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 May 27, 2025 #22 Ahaaaa😁
Fateema JF-Expert Member Joined Feb 8, 2024 Posts 654 Reaction score 1,172 May 27, 2025 Thread starter #23 Addons said: Malipo bei gan? Click to expand... Hakuna malipo. You act for fun and passion.
Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,519 Reaction score 23,693 May 27, 2025 #24 Bongotunacheza said: Mkuu wanasema wasiwasi ndio akili. Akili inaweza kuwa ndogo au kubwa. Wasiwasi mwingine una ashiria kwamba mhusika ana akili ndogo. Sasa kwa mfano wewe wasiwasi wako kwenye post ya mtoa hoja upo kwa misingi ipi? Kwamba watu wanataka kupigwa? Ni watu wangapi Tanzania hii wana fanana na Tupac au Biggie au Lil Kim? Hawafiki hata kumi. Sasa anawapiga vipi? Kwamba anawaambia watoe hela au? Click to expand... Una IDs nyingi.
Bongotunacheza said: Mkuu wanasema wasiwasi ndio akili. Akili inaweza kuwa ndogo au kubwa. Wasiwasi mwingine una ashiria kwamba mhusika ana akili ndogo. Sasa kwa mfano wewe wasiwasi wako kwenye post ya mtoa hoja upo kwa misingi ipi? Kwamba watu wanataka kupigwa? Ni watu wangapi Tanzania hii wana fanana na Tupac au Biggie au Lil Kim? Hawafiki hata kumi. Sasa anawapiga vipi? Kwamba anawaambia watoe hela au? Click to expand... Una IDs nyingi.
H hahaha always done JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 1,439 Reaction score 2,442 May 27, 2025 #25 Fateema said: Kwamba tufungue website ya laki tano au milioni ili tupate : info@maduskodusko.com? Hela yote hiyo kwa sababu ya upuuzi? Are a government institution? Ficha ujinga wako mkuu Click to expand... Dada mbona ni kama umejaa upepo sana!? Shukuru comment yangu imekufanya urekebishe tangazo
Fateema said: Kwamba tufungue website ya laki tano au milioni ili tupate : info@maduskodusko.com? Hela yote hiyo kwa sababu ya upuuzi? Are a government institution? Ficha ujinga wako mkuu Click to expand... Dada mbona ni kama umejaa upepo sana!? Shukuru comment yangu imekufanya urekebishe tangazo