Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

watu wenye maisha ya chini hapo bongo sio hao tu serikalini kwa ujumla ni njaa kali isipokuwa kwa wachache wale wakubwa na wapigaji, watu wana maisha magumu kama nini lakini ndio kutwaaa kutamba ooh unanijua mimi nani? na mavitambi wamefuga kabisa sijawahi kuwaelewa kabisaaaa.
 
Watu wanafanya kazi siku tatu kwa wiki unasemaje wanalipwa kidogo?

Mwl wa Tamisemi

1. Maternity leave 4Months
2. Annual leave 1month
3. Midterm Leave 1month
4. Jmosi na jpili hawafanyi kazi
5.Utoro wa lejaleja kila wiki lazima ajizime data siku moja au mbili.
Huyu hata akilipwa laki Tatu kwa mwezi hizi ni hela nyingi as per worked number of days.

Watz hatujui mahesabu

Labda sio Tanzania.
Walimu walio nifundisha walikua wana fanya kazi Overtime mostly, Na bado Jumamosi.
 
1.Serikali kuu
2.Serikali taasisi
3.Serikali halmashauri

Mishahara ya 1 ,2 na 3 inafanana?
Nafikili nchi ipo upumbavu sana , unawekuta mtumishi kati ya 1,2,3 elimu wanalingana ila mishahara tofauti, wakati no 3 hawa ndo wapo na wananchi na ndo watoa huduma huko, no 1 sasa ni kutengeneza sera ,

Sasa unajiuliza kwa nini mtumishi no 3 asiwe na mshahara mzuri ,maana huyu ndo mtoa huduma kwa wananchi huko chini
 
True ,hao ndiyo wanaodeal na mwananchi moja kwa moja.
 
True ,hao ndiyo wanaodeal na mwananchi moja kwa moja.
Ila sasa ndo hulipwa mshahara kidogo , kwa sasa ni kawaida mtendaji wa kata mkuta yupo masters , ila alie wizarani au kwenye taasisi mwenye level iyo analipwa mshahara mkubwa kuliko uyu mwingine , nchi ya kipumbavu sana.

That's rushwa ni nyingi ,kila mmoja anahonga ili awe kwenye taasis / wizara.
 
Wafanyakazi wa serikali wanao lipwa pesa nyingi kuliko kawaida ni Wabunge TU.

Huko wizarani na Taasisi, hizo ndo stardard paycheck zinazotakiwa.

Huko halmashauri ndo wananyonywa, wanalipwa kidogo kama manamba vile, cha ajabu badala wapambane waunganr kudai kupandishiwa mishahara kama kwenye Taasisi, wao wanatamani mishahara ya kwenye Taasisi/Wizara ishuke ili woote wawe mafukara 😀
 
Taasisi wanalipwa kiasi gani???

Hata wabunge mishahara yao ni ya kawaida, 4M kwa mwezi.
 
Hivi wahusika (wapanga mishahara hasa local government) hawalioni hili
 
Mshahara ukimfunga sisimizi unakuta katoka nao Ubungo mpaka Mbezi mwisho
1000015967.jpg
 
Mishahara ya sehemu nyingi za serikali, INAFANANA
Completely wrong brother,
Unafahamu kuna DG/CEO sema wakuu wa taasisi wanavuta salary ya Mil 40 wakati wakuu wengine wa taasisi wanavuta Mil. 3.7.

Kuna taasisi zina overtime au extra duty zaidi ya Mil 4 kwa mwezi wakati huo kuna taasisi wanaramba 300k kwa mwezi.

Unasemaje sehemu hzo zinafanana!
 
Completely wrong brother,
Unafahamu kuna DG/CEO sema wakuu wa taasisi wanavuta salary ya Mil 40 wakati wakuu wengine wa taasisi wanavuta Mil. 3.7.
Hapa ni masuala ya taasisi zinazokusanya mapato, na mishahara yao inapangwa na bodi.
Kuna taasisi zina overtime au extra duty zaidi ya Mil 4 kwa mwezi wakati huo kuna taasisi wanaramba 300k kwa mwezi.

Unasemaje sehemu hzo zinafanana!
Hoja hapa ni mishahara. Siyo posho.
 
Back
Top Bottom