Kama unafanya kazi Mahale Mountains National Park, naomba msaada

Kama unafanya kazi Mahale Mountains National Park, naomba msaada

dongbei

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
158
Reaction score
147
Habari za Leo wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni hivi, mimi ni mdau wa tafiti za viumbe waishio porini na mambo yote yanayoendana na mambo hayo. Kuna jambo la msingi sana ningependa kufafahamu kutoka eneo Hilo la hifadhi ya wanyamapori.

Nimepitia mtandaoni sijapata nachotaka, naamini nikimpata mtu anayefanya kazi huko anaweza kunisaidia jambo langu kwa haraka zaidi.

Kama yupo humu tafadhari njoo inbox, siyo lazima awe mfanyakazi ila yeyote aliyepita huko na anaufahamu kiasi wa wanyamapori wanaopatikana huko hasa Tembo na Sokwe.

Karibu inbox.

Asante!
 
Back
Top Bottom