Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa

Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kama unafunga mpaka ule daku au kwasababu ni mwezi wa mfungo au usifike na watu basi unashinda na njaa.

Kuna hawa watu wanafunga na wakiona watu wanakula wanakasirika au wanawapiga na kuwauwa basi hao wanahinda na njaa wamebadilisha mda wa kula.

Yule anaye funga kwasababu ya kuwaombea watanzania walio uwawa oktoba 29, walio tekwa na kwa kutubu dhambi zake kwa moyo wote na kumiomba mungu amtatulie matatizo yake ndio mtoto wa mungu na ndio mfungaji halisi.

Hasikii njaa akifunga hata bila kula daku, hata mtu akila mbele yake hatamani na hafungi ili aonekane mbele za mashke na wachungaji na kusifika bali hufantya siri yeye na mungu wake.

Niwaambieni sio wafungaji wote mfungo wao unakubaliwa kwasababu hawajui walitendalo ni asilimia 99% wanashinda na njaa.
 
Back
Top Bottom