Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
3,695
Reaction score
5,531
Wewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka ,Utaishia kuchezewa tu...

Kwa kifupi wanaume Tunahitaji mwanamke Mwenye madini mengi kichwani na Si madini mengi Kitandani..

Tunahitaji mwanamke kichwa, Ambae Ataweza kukutoa mahali fulani na kukupeleka mahali kwingine.

Mchango wa Mwanamke katika mafanikio Ya mwanaume yeyote Duniani ni Mkubwa Sana ,na Ndomana ukiangalia wengi walo fanikiwa Nyuma yao kuna mwanamke Imara.

Wanaume Wengi Tunataka mwanamke Madhubuti ,na Si Mcheza kareti ama Judo ,Tunahitaji zaidi ya Haya kwa mwanamke...
 
Kwahiyo unawaponda makungwi? maana ndo huwa wanawafundisha hao wanawali kuwa mwanamke usiwe mvivu kitandani, ili mumeo asikuache kwenda kwa mpango wa kando we mpe mambo mpaka akiona **** ya jirani asikie kichefuchefu. kisha wanasahau hayo ulosema wewe.
 
Anyway kifupi kichwan kwanza
Lakin pia asiwe kidomodomo basiiiii sura sijui nin hayo ni mengineyo tu
 
Ila ki uhalisia tunataka full package..sema sasa kuipata ndio mbinde ndio mana...ndio mana tunakua nao wa aina tofauti ili kukizi haja..

Mawazo yangu tu...
 
Enheee...

Hapo sawa kabisa. Mi nimetoa mke sijaoa mbia wa maendeleo. Anipe nayoyahitaji ambayo siwezi kupewa na mama wala dada zangu... Akiamua kuchangia kwenye maendeleo hiyo ni added advantage
 
Ila ki uhalisia tunataka full package..sema sasa kuipata ndio mbinde ndio mana...ndio mana tunakua nao wa aina tofauti ili kukizi haja..

Mawazo yangu tu...
Usijali mkuu yanaheshimika [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mi ni mwanaume. Napenda mwanamke anayenifanyia mengi na mazuri kitandani, na kuilea familia yangu vuzuri.

Mambo ya maendeleo ya familia ni jukumu langu....
Sawa babu maana na Umri si umesogea ulishobakisha mbele yako ni kaburi kwahiyo acha ujilie raha zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](Jus kidding)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…