Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,531
- Thread starter
- #41
wengi tuko hivyo amini usimani basi kama hao wacheza judo wangekuwa ndo tunawhitaji basi wasingezagaa mtaaniSasa thread Yako Umesemea wanaume wote. Ungejisemea wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengi tuko hivyo amini usimani basi kama hao wacheza judo wangekuwa ndo tunawhitaji basi wasingezagaa mtaaniSasa thread Yako Umesemea wanaume wote. Ungejisemea wewe
Unajuaje Kama waliojaa mitaani wacheza Judo?? Usimchukulie mtu muonekano wa nje na ndani sawa!!wengi tuko hivyo amini usimani basi kama hao wacheza judo wangekuwa ndo tunawhitaji basi wasingezagaa mtaani
na tena kawavuruga haswaaa sikuhz hali ngumu jomoniii nyie acheniJpm kashatuvuruga sie [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Yap ni kweliAnyway kifupi kichwan kwanza
Lakin pia asiwe kidomodomo basiiiii sura sijui nin hayo ni mengineyo tu
Nipo haya yamekukuta wapi na Id Nyingine??Brother upo am Mondray..
punguza povu ,Wanaume hamtoshekagi.... Ukipigiwa sarakasi maneno... ukilaliwa gogo style maneno. Sielewagi wanaume wanataka nini. Kitandani ni muda wa mapenzi, kuliwazana, kufurahishana na kufarijiana. Issue ya madini kichwani ni jambo jingine jipyaaa kwa wakati wake.
mimi simchukulii mtu kwa muonekano ,ila nazungumza kwa uzoefu ,Sikulazimishi kukubaliana na nnachosema ,maana mawazo huwa huru ziko zoteUnajuaje Kama waliojaa mitaani wacheza Judo?? Usimchukulie mtu muonekano wa nje na ndani sawa!!
Umeona eee kila mtu anatafta wepesina tena kawavuruga haswaaa sikuhz hali ngumu jomoniii nyie acheni
sawa sawaNi kweli kabisa mkuu...ila vingine wasizidishe viwe kiasi
ni wapiga sarakasi ma mactors kunako sita kwa sita[emoji1] [emoji1]Kwani hao uliowataja mleta mada ni wapiga sarakisi au actors?
punguza povu ,
Mungu hawezi kukupa vyote ukawa judo ww ,kichwani pia zimo hiyo kitu hamna
tanteUmenena kweli mtoa mada