Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Ni kweli mkuu ila kuna wengine kichwani hawani kitu hivyo sehemu yao ya kujinadi ni kitandani tu na usiombe umkute anayejua kupiga sambasoti mbona huu uzi utakuja kuufuta mwenyewe, wote wanahusika ndo maana dini ya kiislamu inaruhusu kuwa nao wanne kama ukiweza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Ni kweli na ndomana wanatumia hizo judo kama silaha zao na hawa wako wengi na ndomana maisha yamekuwa magumu
 
Ndio hata me nimepita sehemu nyingi tena mafundi kama mabinti wa Kimakonde ila kuna sehemu nimenasa mwaka wa nne sasa sitoki tena yeye anakuambia kabisa kwa mwezi buku 30 inatosha hizo zingine fanya mambo ya Maendeleo.
 
Enheee...

Hapo sawa kabisa. Mi nimetoa mke sijaoa mbia wa maendeleo. Anipe nayoyahitaji ambayo siwezi kupewa na mama wala dada zangu... Akiamua kuchangia kwenye maendeleo hiyo ni added advantage
Yaani wewe ni mimi kabisaaa
 
Ndio hata me nimepita sehemu nyingi tena mafundi kama mabinti wa Kimakonde ila kuna sehemu nimenasa mwaka wa nne sasa sitoki tena yeye anakuambia kabisa kwa mwezi buku 30 inatosha hizo zingine fanya mambo ya Maendeleo.
kumbe hongera zako [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Je hii mada inahusika na yaliyojiri mapema wiki hii kwenye kile kituo kile cha stesheni ya watu?
 
🙂🙂🙂 Mwalimu mzuri hufundisha kwa mifano jadidu
 
Wewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka ,Utaishia kuchezewa tu...

Kwa kifupi wanaume Tunahitaji mwanamke Mwenye madini mengi kichwani na Si madini mengi Kitandani..

Tunahitaji mwanamke kichwa, Ambae Ataweza kukutoa mahali fulani na kukupeleka mahali kwingine.

Mchango wa Mwanamke katika mafanikio Ya mwanaume yeyote Duniani ni Mkubwa Sana ,na Ndomana ukiangalia wengi walo fanikiwa Nyuma yao kuna mwanamke Imara.

Wanaume Wengi Tunataka mwanamke Madhubuti ,na Si Mcheza kareti ama Judo ,Tunahitaji zaidi ya Haya kwa mwanamke...
Mwanamke hata awe na madini kichwani kiasi gani ....lakini kama KITANDANI ziro....au hana maneno matamu hesabu umeumia mkuu...kama mwanamke anapaswa awe na madini mengi mbona wasomi wanaoa wanawake wa kawaida tu...na kuwaacha wanawake wenye MASTERS..na degree zao?mwanamke ni KITULIZO na KIBURUDISHO kwa mwanamme....hata awe na madini gani kama hana sifa na KUMTULIZA MWANAMME amefeli....
 
Dah......madini ya chini ni LAZIMA.....lakini ya juu ni nyongeza tu.....hii ni kwa wanaume wa KWELI[emoji87]
 
Usomi si kipimo cha madini. Anaweza kuwa msomi lakini njozi zake ni zake za ponda mali kifo chaja na siyo kumsupport mwenza wake wafikie njozi yake.

Hata wale wasiokuwa na masters au bachelor degree wanaweza kuwa na madini wanayohitaji wanaume ili kumsupport na kufikia njozi 'vision' zake na wala siyo kwa sababu wenye degree kuwa ni wabovu pale kati.
 
Na mnavyowasifia wanawake wa kitanga je?!
Up stairs wakoje?!
 
Mwanamke hata awe na madini kichwani kiasi gani ....lakini kama KITANDANI ziro....au hana maneno matamu hesabu umeumia mkuu...kama mwanamke anapaswa awe na madini mengi mbona wasomi wanaoa wanawake wa kawaida tu...na kuwaacha wanawake wenye MASTERS..na degree zao?mwanamke ni KITULIZO na KIBURUDISHO kwa mwanamme....hata awe na madini gani kama hana sifa na KUMTULIZA MWANAMME amefeli....
Mkuu maana yangu ni hivi wapi wanawake wa mjini wanaona kuwa fundi ndo kila kitu ,yaan wanahisi wanaume tunachohitaji ni ufundi tu kitandani basii.
sina maana kwamba wajuzi wa kitandani hawahitajiki la hasha ila si kigezo pekee
 
Back
Top Bottom