Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Kama Unahisi Kupiga Sarakasi Kitandani kama Jet lii Kutamtuliza Mwanaume Mmefeli

Usomi si kipimo cha madini. Anaweza kuwa msomi lakini njozi zake ni zake za ponda mali kifo chaja na siyo kumsupport mwenza wake wafikie njozi yake.

Hata wale wasiokuwa na masters au bachelor degree wanaweza kuwa na madini wanayohitaji wanaume ili kumsupport na kufikia njozi 'vision' zake na wala siyo kwa sababu wenye degree kuwa ni wabovu pale kati.
mimi simaanishi kwamba awe na elimu nachosema awe na akili ya maisha tu basiii
 
Wewe Cheza kareti ,Cheza judo kitandani ,Ruka samba soti kama bluce Lee,Nin'ginia kwenye kitanda kama jack chan, Binuka msamba kama Van Dame ,Kama hujatuliza akili na kujua nini mwanaume Anataka ,Utaishia kuchezewa tu...

Kwa kifupi wanaume Tunahitaji mwanamke Mwenye madini mengi kichwani na Si madini mengi Kitandani..

Tunahitaji mwanamke kichwa, Ambae Ataweza kukutoa mahali fulani na kukupeleka mahali kwingine.

Mchango wa Mwanamke katika mafanikio Ya mwanaume yeyote Duniani ni Mkubwa Sana ,na Ndomana ukiangalia wengi walo fanikiwa Nyuma yao kuna mwanamke Imara.

Wanaume Wengi Tunataka mwanamke Madhubuti ,na Si Mcheza kareti ama Judo ,Tunahitaji zaidi ya Haya kwa mwanamke...
Kavideo kidgo ingenoga sana
 
na yule ambae anafuata maelekezo kitandani geuka huku anageuka,njoo kwa juu anakuja,shika hapo halafu me nakuja kwa hivi anashika na mwengineyo ya kunifanya asiniishe hamu...

wale wajeuri ukimwambia fanya hivi yeye anaaza sababu mara zima taa,mara mkao huo me nitaumia,ohoo hivyo bhana tumbo litaniumaaa....
hao wa hivyo hawana mchango kabisaaa...tupa kuleeeee....
 
Mkuu maana yangu ni hivi wapi wanawake wa mjini wanaona kuwa fundi ndo kila kitu ,yaan wanahisi wanaume tunachohitaji ni ufundi tu kitandani basii.
sina maana kwamba wajuzi wa kitandani hawahitajiki la hasha ila si kigezo pekee
Hapo nimekupata mkuu.....
 
mwanamke ata awe tahira lakini awe na manjonjo kitandani me nitamtafutia tu ayo maendeleo!!
 
Umezungumza vyema japo kwenye mazungumzo mengi tunazungumza opposite yake
 
Enheee...

Hapo sawa kabisa. Mi nimetoa mke sijaoa mbia wa maendeleo. Anipe nayoyahitaji ambayo siwezi kupewa na mama wala dada zangu... Akiamua kuchangia kwenye maendeleo hiyo ni added advantage
Asante sana..
 
Mmmh. Nyinyi wanaume,mkipewa moja mnasema umekosa tunataka mbili. Wengine utasikia bora mama wa nyumbani amfanyie kila kitu,hapo hapo leo mnasema hamtaki nini sarakasi vitandani kazi mbona ipo..
 
Aise niko tofauti kidogo, kwanza maumbule, hiyo akili baada ya mambo..
 
Back
Top Bottom