Kama unahisi Mchumba wako (Demu) anataka kukuomba hela na wewe huna, tengeneza ugomvi

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,148
Reaction score
2,815
kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Umesharudi tuisheni ya shule? Mwalimu wako wa darasa shule ya msingi ananiambia hajakuona tuisheni leo
 
Kwa upande wangu hiyo trick lazima nifeli. Maana kuna mambo tumeshakubaliana no matter what lazima yatekelezwe:

1. Hata kama kuna ugomvi mkubwa kiasi gani, mmoja alisema ana nyege, mwingine lazima a comply then show inachezwa.

2. Haijalishi sababu ya ugomvi, care n support lazima iwepo. Hata kama mtu atatekeleza majukumu yake huku kanuna, it's okay as long as ametekeleza.
 
Ila hiyo mbinu ya kizamani,kwanini usimtoe out,hata kisiwa ambacho hata pipi hapati,hata kama hela anayo🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…