Pesa yako bado ikutese siuwe tu mkweli sina as kama ni muelewa anajua kunakupata na kukosa hatoona shida.kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite πππ
Kuachika ni kutaka menyewe,kama wewe kambale,jua kambale kwao hawajui heshima,staha,busara,ustaarabu,uvumilivu,upendo wala hekima,baba,mama,mtoto,mjukuu,kitukuu,wote wamemea ndevu,hivyo wanajiona wote sawaπ€£Usije kurudi huku tena utuambie umeachika
Pengine kwangu inaweza isifanye kazi mkuu wife ata tugombane vipi kipo kitabu cha mahitaji ataandika tu na lazima ni timize.kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite πππ