Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

This is very true, kampuni za nje wengi wanawapima watu wao wanaotaka kuwaajiri ila wengi hua wana aim sana hapo kwenye ngoma.

Na wanawapeleka hospital zao maalum hauendi kujipima mwenyewe maana wanajua mtu utafoji majibu.
Kwamba ukiwa na ngoma utendaji kazi utakuwa duni au utawaambukiza mabosi wa kampuni?
 
Makampuni ya wazungu a.k.a makafiri
 
Mimi mwenyewe sijapenda, huo ni Unyanyapaa.

Wao si ndio wanajidai kupinga DISCRIMINATION, au kumbe ni wanafiki tu!
Kuna factors kadhaa ambazo wanaziangalia mpaka kuweka hayo masharti ya kupima afya, nikipata muda nitakuja kuziainisha.
Wala sio unyanyapaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…