Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

Kama unahitaji ajira kwenye international companies zinazolipa vizuri, tunza afya yako kuliko chochote

Waislamu mshaanza......au hiyo ID yako ya hayatolah inakuchanganya mkuuu......kuona hao watu wa dini yako ndio international zaidi kuliko wengine???🤣🤣🤣🤣🤣 waafrika bhana.....
Mkuu kaanza T14 Armata namimi nimemjibu kulingana na COMMENT yake, kakomenti Kwa vile anafahamu napingana nabaadhi ya mambo yeye anayoyakubali. Tena kakomenti Kwa lengo la kukejeli.
 
Utapita kwenye interview stage zaidi ya 4 na utapewa offer, Kisha utaikubali, baada yahapo utapelekwa kwenye vipimo vya afya Yako ikiwa ni pamoja na x-rays ya kifua, mgongo, watakupima HIV, sukari, pressure, pamoja na homa ya inni na magonjwa mengine kibao.

Aisee tutunze afya zetu.
si kweli,
 
Back
Top Bottom