Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

Fundi George

Member
Joined
Mar 17, 2021
Posts
15
Reaction score
12
Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.

FB_IMG_16163907022782032.jpg
FB_IMG_16163907022782032.jpg
FB_IMG_16163907077732478.jpg
FB_IMG_16163907077732478.jpg
 
TUZIJUE AINA ZA MAIN SWITCH, MAANA YA MAIN SWITCH.

(1)AINA ZA MAIN SWITCH:
Tuna aina kuu mbili za Main switch au kwa jina lingine unaweza kuziita Distribution bord au Distribution fuse bord ambazo ni:

(a) SINGLE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa SINGLE PHASE NEUTRAL na kifupi chake ni (SPN)

(b)THREE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa THREE PHASE NEUTRAL na kifupi chake ni (TPN)

Main switch kwa jina lingine tulisema unaweza kuita DISTRIBUTION BORD ikiwa na ISOLATOR ndani (ON/OFF SWITCH) na ikiwa haina ISOLATOR ndani basi hubadilishwa jina na kuitwa DISTRIBUTION FUSE BORD.

(2) MAANA YA MAIN SWITCH:
Main switch, Distribution bord au Distribution fuse bord kama jina lake linavyojielezea ni kifaa ambacho kinapokea Umeme kutoka kwenye chanzo kikuu iwe Umeme wa Tanesco, Generator au Solar na kusambaza kwenye vifaa kwa kupitia kwenye FUSE ambazo zina viwango tofauti katika uchukuaji na usambazaji wa current kwenye kifaa husika au circuit husika (FUSE CURRENT RATING)

Umeme kabla ya kuanza kutumika ndani huanzia hapo na ndiyo maana ikaitwa SWITCH KUU (MAIN SWITCH)
Main switch huundwa na vitu vinne hadi kukamilisha neno Main switch ambavyo ni:
(a) PROTECTIVE HOUSING
(b)ISOLATOR SWITCH
(c) CIRCUIT BREAKER
(d) MINIATURE CIRCUIT BREAKER (MCB) or FUSE

(A) PROTECTIVE HOUSING
Hii ni Nyumba ya Main switch ambayo imetengenezwa maalum kumlinda mtumiaji dhidi ya athari za kiumeme na kuundwa vyema ikiwa na muonekano bora wenye kuvutia. Ndani ya hiyo Housing ndiyo hubeba ISOLATOR SWITCH, CIRCUIT BREAKER na MINIATURE CIRCUIT BREAKER (MCB)

(B) ISOLATOR SWITCH
Hii ni switch ambayo huzima na kuwasha Umeme Manually pale unapotaka kufanya Service ya mifumo yako ya Umeme, kurekebisha short circuit etc. Pia kitaalamu Umeme ukitoka kwenye Main Source inashauriwa uanzie kwenye ISOLATOR SWITCH na si kuanzia kwenye CIRCUIT BREAKER sababu kuu ikiwa ni wepesi wa kufanya marekebisho kwenye CIRCUIT BREAKER pale Magnetic coil yake itakaposhindwa kufanya kazi.

(C) CIRCUIT BREAKER
Hiki ni kifaa kikuu cha Ulinzi wa nyumba yako dhidi ya Short circuit, Leakage za Umeme na ndiyo kifaa kitachoweza kukuokoa endapo kuna madhara makubwa ya kiumeme na kuiacha nyumba yako salama. Kifaa hiki hufanya kazi Automatically pale tu kunapotokea tatizo la Kiumeme iwe ndani ya mifumo yako ya Umeme au nje ya mifumo yako ya Umeme.

(D) MINIATURE CIRCUIT BREAKER au FUSE
Hizi ndiyo hugawa Umeme kwenye Circuit yako au vifaa vyako na hugawa umeme kwa kiwango cha Current rating kutegemea na matumizi ya Circuit husika. Pia MCB hufanya kazi ya kulinda Circuit moja moja dhidi ya Overload, Short circuit na inaweza kuwa msaidizi wa CIRCUIT BREAKER.

wasiliana na Fundi George Kwa namba
0622313163
0622313163
FB_IMG_1616396537931.jpg
 
Wasiliana na Fundi George kwa namba
0622313163
0622313163
FB_IMG_1616396537931.jpg
IMG_20210321_135558.jpg
 
Tazama picha izi mbili picha ya kwanza ni kabla ya kufanya installation ya umeme

Picha ya pili ni baada ya kufanya installation ya umeme

Kwa mahitaji ya Fundi umeme wasiliana Fundi George
0622313163
0622313163
FB_IMG_16162409608048613.jpg
FB_IMG_16162409659190893.jpg
 
TUZIJUE AINA ZA MAIN SWITCH, MAANA YA MAIN SWITCH.

(1)AINA ZA MAIN SWITCH:
Tuna aina kuu mbili za Main switch au kwa jina lingine unaweza kuziita Distribution bord au Distribution fuse bord ambazo ni:

(a) SINGLE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa SINGLE PHASE NEUTRAL na kifupi chake ni (SPN)

(b)THREE PHASE MAIN SWITCH au kitaalamu zaidi huitwa THREE PHASE NEUTRAL na kifupi chake ni (TPN)

Main switch kwa jina lingine tulisema unaweza kuita DISTRIBUTION BORD ikiwa na ISOLATOR ndani (ON/OFF SWITCH) na ikiwa haina ISOLATOR ndani basi hubadilishwa jina na kuitwa DISTRIBUTION FUSE BORD.

(2) MAANA YA MAIN SWITCH:
Main switch, Distribution bord au Distribution fuse bord kama jina lake linavyojielezea ni kifaa ambacho kinapokea Umeme kutoka kwenye chanzo kikuu iwe Umeme wa Tanesco, Generator au Solar na kusambaza kwenye vifaa kwa kupitia kwenye FUSE ambazo zina viwango tofauti katika uchukuaji na usambazaji wa current kwenye kifaa husika au circuit husika (FUSE CURRENT RATING)

Umeme kabla ya kuanza kutumika ndani huanzia hapo na ndiyo maana ikaitwa SWITCH KUU (MAIN SWITCH)
Main switch huundwa na vitu vinne hadi kukamilisha neno Main switch ambavyo ni:
(a) PROTECTIVE HOUSING
(b)ISOLATOR SWITCH
(c) CIRCUIT BREAKER
(d) MINIATURE CIRCUIT BREAKER (MCB) or FUSE

(A) PROTECTIVE HOUSING
Hii ni Nyumba ya Main switch ambayo imetengenezwa maalum kumlinda mtumiaji dhidi ya athari za kiumeme na kuundwa vyema ikiwa na muonekano bora wenye kuvutia. Ndani ya hiyo Housing ndiyo hubeba ISOLATOR SWITCH, CIRCUIT BREAKER na MINIATURE CIRCUIT BREAKER (MCB)

(B) ISOLATOR SWITCH
Hii ni switch ambayo huzima na kuwasha Umeme Manually pale unapotaka kufanya Service ya mifumo yako ya Umeme, kurekebisha short circuit etc. Pia kitaalamu Umeme ukitoka kwenye Main Source inashauriwa uanzie kwenye ISOLATOR SWITCH na si kuanzia kwenye CIRCUIT BREAKER sababu kuu ikiwa ni wepesi wa kufanya marekebisho kwenye CIRCUIT BREAKER pale Magnetic coil yake itakaposhindwa kufanya kazi.

(C) CIRCUIT BREAKER
Hiki ni kifaa kikuu cha Ulinzi wa nyumba yako dhidi ya Short circuit, Leakage za Umeme na ndiyo kifaa kitachoweza kukuokoa endapo kuna madhara makubwa ya kiumeme na kuiacha nyumba yako salama. Kifaa hiki hufanya kazi Automatically pale tu kunapotokea tatizo la Kiumeme iwe ndani ya mifumo yako ya Umeme au nje ya mifumo yako ya Umeme.

(D) MINIATURE CIRCUIT BREAKER au FUSE
Hizi ndiyo hugawa Umeme kwenye Circuit yako au vifaa vyako na hugawa umeme kwa kiwango cha Current rating kutegemea na matumizi ya Circuit husika. Pia MCB hufanya kazi ya kulinda Circuit moja moja dhidi ya Overload, Short circuit na inaweza kuwa msaidizi wa CIRCUIT BREAKER.

Wasiliana na Fundi George kwa namba
0622313163
0622313163
wewe ndio huyo anaeitwa FAABI?
 
Back
Top Bottom