Car4Sale Kama unahitaji gari zuri usiache kupitia huu uzi

Car4Sale Kama unahitaji gari zuri usiache kupitia huu uzi

2015 HILUX D/CABIN(DED)

Engine Capacity Cc: 2494
Mileage: 100k
Engine Code: 2KD
Fuel: DIESEL

MUSIC SYSTEM
BF GOODRICH (TYRES TYRES)

Transmission: MANUAL

Asking Price: 63,800,000/=[emoji389]
Contact:0658124554
IMG-20220828-WA0107.jpg
IMG-20220828-WA0106.jpg
IMG-20220828-WA0108.jpg
IMG-20220828-WA0105.jpg
IMG-20220828-WA0090.jpg
 
Price/Bei:12.8M

Nissan Extrail[DRV]
Year:2001/02
Engine Capacity:1990
Engine Code:QR-20
Kilometer:85,000

Automatic Transmission
Clean Condition
Brand New Tyres
Colour: White
Contact:0658124554
IMG-20220829-WA0026.jpg
IMG-20220829-WA0025.jpg
IMG-20220829-WA0032.jpg
IMG-20220829-WA0026.jpg
IMG-20220829-WA0030.jpg
IMG-20220829-WA0031.jpg
 
Toyota wish new model
Cc1790
2ZR Engine
New tyres
Clean interior
Used fair like new

Price 15.5 mil only
Contact:0658124554
IMG-20220829-WA0049.jpg
IMG-20220829-WA0051.jpg
IMG-20220829-WA0050.jpg
IMG-20220829-WA0048.jpg
 
SUBARU FORESTER
YEAR 2003
CC1990
Km 68439
New tyres
Price tshs 13.8ml
Call 0658124554
IMG-20220829-WA0246.jpg
IMG-20220829-WA0245.jpg
IMG-20220829-WA0247.jpg
IMG-20220829-WA0244.jpg
IMG-20220829-WA0243.jpg
 
Acha kuharibu biashara za watu. Kama huna hela pita kimya kimya kama sisi wenzako. Usilete stori zako za sizitaki mbichi hizi hapa.
Sio kuharibu, ni upumbavu kununua aina hiyo ya gari na ya miaka 18 huko nyuma kwa Mil 10+. Watanzania hampendi kuambiana ukweli. Yaan mtu anunur gari ambayo yeye mwenyewe alinunua kwa bei hiyo hiyo miaka mingi iliyopita anataka kuuza kwa kupata faida??

Hapana, depreciation ya hiyo gari imefika 0 amount bhana, hata tungepunguza kwa njia gani.

Huo ni WIZI.
 
Wewe bhana tuache tununue magari yetu used. Huo ndiyo uwezo wa wananchi wengi ulipo.

Sasa kama kodi yenyewe tu ya kuliingiza hilo gari nchini ni zaidi ya ile ya kununulia huko ughaibuni, unategemea mfanyabiashara atakuuzia kwa bei ile ile aliyo nunulia? Na yeye lazima atafidia ili apate chochote.
 
Hiyo gari sio ya mfanyabiashara ni ya Msela anaamua kuisukuma tu. Lazima watu waelewe dhana ya biashara bhana. Unawezaje kuuza gari kuu kuu hivyo kwa bei kubwa kiasi hiko?

Na mtu unawezaje kununua magari ya miaka 20 nyuma huko?? Teknolojia imebadilika sana. Vifaa vyake pia huwa adimu nk.

Gari kwa umasikini wetu usinunue iliyo zaidi ya miaka 12 nyuma. Yaan kwa sasa gari nunua ya 2010 kuja juu. Labda hiyo gari iwe Lori naweza kukushauri ununua za miaka hiyo nyuma huko, ila Basi, sijui Hiace, kosta nk nunua ya miaka 2010s kuja juu.

Bei hazitofautiani sana, na mbaya zaidi hizo za miaka ya nyumba zaidi kodi yake husogea pia.
 
Mitsubish canter
Engine 4d35
2.5 tons
Ya mzigo sio tipa
Bei 35ml
Registration number DZ
Contact:0658124554
IMG-20220830-WA0043.jpg
IMG-20220830-WA0041.jpg
IMG-20220830-WA0042.jpg
IMG-20220830-WA0048.jpg
IMG-20220830-WA0047.jpg
IMG-20220830-WA0046.jpg
 
Hiyo gari sio ya mfanyabiashara ni ya Msela anaamua kuisukuma tu. Lazima watu waelewe dhana ya biashara bhana. Unawezaje kuuza gari kuu kuu hivyo kwa bei kubwa kiasi hiko?

Na mtu unawezaje kununua magari ya miaka 20 nyuma huko?? Teknolojia imebadilika sana. Vifaa vyake pia huwa adimu nk.

Gari kwa umasikini wetu usinunue iliyo zaidi ya miaka 12 nyuma. Yaan kwa sasa gari nunua ya 2010 kuja juu. Labda hiyo gari iwe Lori naweza kukushauri ununua za miaka hiyo nyuma huko, ila Basi, sijui Hiace, kosta nk nunua ya miaka 2010s kuja juu.

Bei hazitofautiani sana, na mbaya zaidi hizo za miaka ya nyumba zaidi kodi yake husogea pia.
Mkuu ni kwamba hujui ukweli au ni kusudi tu umeamua kufanya?
Kabla ya kulalamika kuhusu bei ungefanya research kidogo kujua hiyo gari showroom ni bei gani inauzwa kisha uangalie registration number DX iko na miezi mingapi ndio tupige hesabu hii gari iko overpriced au ni bei sawa.
 
Toyota Hilux
Year 2013
Engine 1KD
Fuel Diesel[emoji618]
Cc 2890
Mileage 100k
Full Option
Manual Gear
Good condition
Price 55mil[emoji389]
Contact:0658124554
IMG-20220831-WA0041.jpg
IMG-20220831-WA0043.jpg
IMG-20220831-WA0038.jpg
IMG-20220831-WA0044.jpg
 
Back
Top Bottom