Master of the game
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 5,858
- 2,697
- Thread starter
-
- #701
Acha kuharibu biashara za watu. Kama huna hela pita kimya kimya kama sisi wenzako. Usilete stori zako za sizitaki mbichi hizi hapa.Gari ya miaka 18 nyuma ninunue kwa TSH 13 MILIONI???
Unataka ununue kiasi gan [emoji3][emoji3]Gari ya miaka 18 nyuma ninunue kwa TSH 13 MILIONI???
Kuna hii mkuu,miaka 23 nyuma cheki bei yake daah!Gari ya miaka 18 nyuma ninunue kwa TSH 13 MILIONI???
Sio kuharibu, ni upumbavu kununua aina hiyo ya gari na ya miaka 18 huko nyuma kwa Mil 10+. Watanzania hampendi kuambiana ukweli. Yaan mtu anunur gari ambayo yeye mwenyewe alinunua kwa bei hiyo hiyo miaka mingi iliyopita anataka kuuza kwa kupata faida??Acha kuharibu biashara za watu. Kama huna hela pita kimya kimya kama sisi wenzako. Usilete stori zako za sizitaki mbichi hizi hapa.
Wewe bhana tuache tununue magari yetu used. Huo ndiyo uwezo wa wananchi wengi ulipo.Sio kuharibu, ni upumbavu kununua aina hiyo ya gari na ya miaka 18 huko nyuma kwa Mil 10+. Watanzania hampendi kuambiana ukweli. Yaan mtu anunur gari ambayo yeye mwenyewe alinunua kwa bei hiyo hiyo miaka mingi iliyopita anataka kuuza kwa kupata faida??
Hapana, depreciation ya hiyo gari imefika 0 amount bhana, hata tungepunguza kwa njia gani.
Huo ni WIZI.
Hiyo gari sio ya mfanyabiashara ni ya Msela anaamua kuisukuma tu. Lazima watu waelewe dhana ya biashara bhana. Unawezaje kuuza gari kuu kuu hivyo kwa bei kubwa kiasi hiko?Wewe bhana tuache tununue magari yetu used. Huo ndiyo uwezo wa wananchi wengi ulipo.
Sasa kama kodi yenyewe tu ya kuliingiza hilo gari nchini ni zaidi ya ile ya kununulia huko ughaibuni, unategemea mfanyabiashara atakuuzia kwa bei ile ile aliyo nunulia? Na yeye lazima atafidia ili apate chochote.
Mkuu ni kwamba hujui ukweli au ni kusudi tu umeamua kufanya?Hiyo gari sio ya mfanyabiashara ni ya Msela anaamua kuisukuma tu. Lazima watu waelewe dhana ya biashara bhana. Unawezaje kuuza gari kuu kuu hivyo kwa bei kubwa kiasi hiko?
Na mtu unawezaje kununua magari ya miaka 20 nyuma huko?? Teknolojia imebadilika sana. Vifaa vyake pia huwa adimu nk.
Gari kwa umasikini wetu usinunue iliyo zaidi ya miaka 12 nyuma. Yaan kwa sasa gari nunua ya 2010 kuja juu. Labda hiyo gari iwe Lori naweza kukushauri ununua za miaka hiyo nyuma huko, ila Basi, sijui Hiace, kosta nk nunua ya miaka 2010s kuja juu.
Bei hazitofautiani sana, na mbaya zaidi hizo za miaka ya nyumba zaidi kodi yake husogea pia.
Sawa mkuu nikiipata nakuwekea hapaKama una harier nyeusi iwe ya mwaka 2010 Tafadhali tuwasiliane