Kama unahitaji kununua Gari aina yoyote, Basi karibu, Yapo kwa bei nafuu.

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,128
Reaction score
2,452
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Tunajishugulisha na uuzaji wa magari kwa bei nafuu, magari ni mengina ya aina mbali mbali, nimeweka picha hapo na nitaweka zingine zaidi, utakayoona inakupendeza basi weka offer yako na mm nitakuambia yangu tufanye biashara! kama utahitaji picha zaidi basi utaniona whatsapp nikutumie!
Kuhusi vibali vyote tutakushugulikia, pia na wale wanaopenda used kwa hapa nchini karibuni!

Bei zetu ni nzuri, kwa ambao wako serious karibuni mjipatia magari mazuri kwa bei safi.

Namba zangu ni 0684448888
au 0713415537

 
Hebu fanya biashara yako basi hata ivutie kidogo! Weka bei, sifa za gari kama cc ngapi, mileage inasomaje, petrol au diesel n.k!!

Omba ushauri kwa Master of the game!!
ushauri ni mzuri sana! nitaangalia huo ustaarabu, ila hapa jf ni ngumu kidogo kupanga kila gari na bei, mana yapo zaidi ya 100
 
ushauri ni mzuri sana! nitaangalia huo ustaarabu, ila hapa jf ni ngumu kidogo kupanga kila gari na bei, mana yapo zaidi ya 100

Fanya hivo mkuu kuliko kuweka picha tupu. Ni bora upost magari machache kila siku ili mteja ajiridhishe na sifa za gari anazotaka!!
 
Mkuu mimi uwezo wangu mdogo...ila nahitaji kununua kagari ili niondoe mkosi..naweza kupata kagari kama kale ka Mr bean kwa bei gani?
Au kuna gari ipi ntapata hapo
kwa laki nane ?
 
mkuu hapo kupanga pamoja na bei hapa jf napata kamtihani kidogo! ila utakayoipenda niambie nitakupa bei humu humu na kama utapenda pia namba zipo hapo nitakupa pia na picha zaidi na bei
Wapi NOAH sr 40 Exurb ,Limo?
 
Mie nijuze bei ya hiyo IST ni ya mwaka gani?
 
Mkuu mimi uwezo wangu mdogo...ila nahitaji kununua kagari ili niondoe mkosi..naweza kupata kagari kama kale ka Mr bean kwa bei gani?
Au kuna gari ipi ntapata hapo
kwa laki nane ?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu hapo kupanga pamoja na bei hapa jf napata kamtihani kidogo! ila utakayoipenda niambie nitakupa bei humu humu na kama utapenda pia namba zipo hapo nitakupa pia na picha zaidi na bei
Mambo ya kuzunguka zunguka ndo nini ! Weka bei, anayetaka atakutafuta.
 

mkuu, naomba price quotation ya kila moja hapo juu. niwekee bei inayoonyesha (Min-Max price). kwenye hiyo picha ya katikati hapo nipo interested na hiyo Hiace na wala si hiyo porte. je Hiace ni diesel or petrol?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…