Premio new model 2010 vipiHahaa mkuu kuna Tatu mzika na za sporting Betting za kutosha
RAV 4 old model,pesa ngapi?ushauri ni mzuri sana! nitaangalia huo ustaarabu, ila hapa jf ni ngumu kidogo kupanga kila gari na bei, mana yapo zaidi ya 100
Acheni kukariri vibaya.. Huu uzi unaeleweka labda kama huna pesa... Kama ana magari 200 yote ayaweke apa na bei yake? Uzi utakuaje.. Kaweka sample uliza unalolitaka utajibiwa.. Kama huna pesa pita tu...wengine mnataka bei mkabishane kwenye vijiwe vya ushilawadu
Acheni kukariri vibaya.. Huu uzi unaeleweka labda kama huna pesa... Kama ana magari 200 yote ayaweke apa na bei yake? Uzi utakuaje.. Kaweka sample uliza unalolitaka utajibiwa.. Kama huna pesa pita tu...wengine mnataka bei mkabishane kwenye vijiwe vya ushilawadu
I am not ouohkjtgihfdyfydddudydgdgdddyddududududddgíffgfduidgfhogfgfgggfgghhffggfhAcheni kukariri vibaya.. Huu uzi unaeleweka labda kama huna pesa... Kama ana magari 200 yote ayaweke apa na bei yake? Uzi utakuaje.. Kaweka sample uliza unalolitaka utajibiwa.. Kama huna pesa pita tu...wengine mnataka bei mkabishane kwenye vijiwe vya ushilawadu
Asante mkuu! Kweli kama mtu yupo serious anahitaji gari flan ataipoint then nitamjibu!Acheni kukariri vibaya.. Huu uzi unaeleweka labda kama huna pesa... Kama ana magari 200 yote ayaweke apa na bei yake? Uzi utakuaje.. Kaweka sample uliza unalolitaka utajibiwa.. Kama huna pesa pita tu...wengine mnataka bei mkabishane kwenye vijiwe vya ushilawadu
Kuna Jamaa yangu anauza raum new model # d. Bei 8.5m kama unamteja ni pm ntaku link na mmilikiAsante mkuu! Kweli kama mtu yupo serious anahitaji gari flan ataipoint then nitamjibu!
Mfano eti mtu kwenye thread zake ametangaza anahitaji mkopo wa bajaji, then anakuja hapa ananiponda
Humu jf Kna watu kazi Yao kuponda mm nishawahi kupost biashara akatokea boya fulani akaponda thamani ya kile chombo nkamwambia kama anahitaji aje ntamuzia kwa mln 2 akanipigia sm mwishoe alingia kirikuuu tuAsante mkuu! Kweli kama mtu yupo serious anahitaji gari flan ataipoint then nitamjibu!
Mfano eti mtu kwenye thread zake ametangaza anahitaji mkopo wa bajaji, then anakuja hapa ananiponda
Mkuu hii una uzaje... bei tafadhari...Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Tunajishugulisha na uuzaji wa magari kwa bei nafuu, magari ni mengina ya aina mbali mbali, nimeweka picha hapo na nitaweka zingine zaidi, utakayoona inakupendeza basi weka offer yako na mm nitakuambia yangu tufanye biashara! kama utahitaji picha zaidi basi utaniona whatsapp nikutumie!
Kuhusi vibali vyote tutakushugulikia, pia na wale wanaopenda used kwa hapa nchini karibuni!
Bei zetu ni nzuri, kwa ambao wako serious karibuni mjipatia magari mazuri kwa bei safi.
Namba zangu ni 0684448888
au 0713415537View attachment 676569