Kama unahitaji kununua Gari aina yoyote, Basi karibu, Yapo kwa bei nafuu.

Kama unahitaji kununua Gari aina yoyote, Basi karibu, Yapo kwa bei nafuu.

Habari wakuu! Noah hiyo ipo sokoni ni namba C ipo hapa DSM haina tatizo lolote na matunzo yake ni makubwa sana, bei ni 11M kwa mawasiliano nichek kwa 0713415537 au 0684448888
IMG-20180204-WA0008.jpg
IMG-20180204-WA0011.jpg
 
mkuu hapo kupanga pamoja na bei hapa jf napata kamtihani kidogo! ila utakayoipenda niambie nitakupa bei humu humu na kama utapenda pia namba zipo hapo nitakupa pia na picha zaidi na bei
Mkuu nipe bei ya Nissan double cabin hard body na matoleo mengine kama hayo.
 
Tunzo
Toyota Vanguard Tsh ngapi?
Nyeusi Au Silver inapatikana?
OK Hiyo iliopo Tsh ngapi?
Na Harrier new model Tsh ngapi?
Zote ni 25M tu mkuu na vibali vyote
 
Zote ni 25M tu mkuu na vibali vyote
Mkuu Ngoja nisave namba yako hapa.
Na Ist Tsh ngapi?
Mnapatikana wapi Mkuu?
Halafu Umesema Nyeusi Vanguard inapatikana Au Nyeusi Harrier?
 
Mkuu Ngoja nisave namba yako hapa.
Na Ist Tsh ngapi?
Mnapatikana wapi Mkuu?
Halafu Umesema Nyeusi Vanguard inapatikana Au Nyeusi Harrier?
Nimezungumzia Harrier mkuu, Vanguard ngona nitakupa jibu! Ist ni 11.5M full kila kitu, nichek tu kwenye namba yangu kwa maelezo
 
Nimezungumzia Harrier mkuu, Vanguard ngona nitakupa jibu! Ist ni 11.5M full kila kitu, nichek tu kwenye namba yangu kwa maelezo
Mkuu kwa Faida ya wengine ni bora Ukasema hapa Vanguard ni Tsh ngapi! itapendeza sana sana Mkuu,ndio biashara hiyo Kaka!,
Nashukuru kwa IST!
 
Back
Top Bottom