Kama unahitaji kununua Gari aina yoyote, Basi karibu, Yapo kwa bei nafuu.


Nahitaji Isuzu / canter yenye Box 15 Ton , Box size 6Meters . Please Dm a quotation ASAP.

 
Ok mkuu! Canter tipper 2t, iwe na helper, engine 4D 35 au 33, bei gan?
 
Ntafutie harrier new model iwe namba d,iwe 4 cylinder ya kulenga.....

Ova
 
Tatizo lenu mnaambiwa kwenda shule mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa.
Piga picha magali yote weka bei kwa kila gali acha uzembe
 
Tatizo lenu mnaambiwa kwenda shule mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa.
Piga picha magali yote weka bei kwa kila gali acha uzembe
Acha dharau na acha kujifanya umeenda shule! kama ne me acha akili cha ke! hunijiu na huenda mburura tu kwangu! usikune elimu hunizidi na kipato pia! Alafu watu ambao hawana pesa ndio wanalia lia! mtu ambae hayupo serious kama ww ndio wanaandika hivi, ila mwenye pesa za kununua hawezi kua na mawazo ya mwanamke wa uswazi! akipenda gari lazima aje hewani, na walio serious wameshakuja na wanaondoka na ndinga!
na ukizungumzia elimu weka cheti acha ubachite
 
Tatizo lenu mnaambiwa kwenda shule mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa.
Piga picha magali yote weka bei kwa kila gali acha uzembe
Mwenye kujua mahali wanapokopesha bajaji kwa masharti nafuu

Natafute mpenzi awe anaishi mikoa ya kanda ya ziwa

natafuta gali aina ya noah

msaada wa kujulishwa bei ya injini/mashine ya boat maji baridi

Mke mwenye umri miaka 24 nakuendelea anahitajika

Kwa mwanamke mwenye sifa soma hii inakuhusu

Kulingana na hizi threads zako ww ndio unashauri watu warudi shule.... umesoma chuo gani ww?
 
SASA UNATUWEKEA PICHA ZA MAGARI YALIYOPO JAPAN ILI IWEJE
 
Mkuu mimi uwezo wangu mdogo...ila nahitaji kununua kagari ili niondoe mkosi..naweza kupata kagari kama kale ka Mr bean kwa bei gani?
Au kuna gari ipi ntapata hapo
kwa laki nane ?
Bodaboda tu hupati chini ya 1.5m, Gari za laki nane hizo tafuta zile IST zinazopata ajari huwa wanapiga minada ukipata zile matengenezo yake hayazidi m2
 
Bodaboda tu hupati chini ya 1.5m, Gari za laki nane hizo tafuta zile IST zinazopata ajari huwa wanapiga minada ukipata zile matengenezo yake hayazidi m2
Hapo sasa
 
Bodaboda tu hupati chini ya 1.5m, Gari za laki nane hizo tafuta zile IST zinazopata ajari huwa wanapiga minada ukipata zile matengenezo yake hayazidi m2
mkuu kwa jinsi alivyouliza hayuko serious ila ametumia njia ya mbadala ya kumfanya jamaa anapoweka picha ya gari na bei aweke sasa unapomwambia mteja ataje ofa yake ndo kama hayo jamaa kaweka ofa yake....ilimbidi huyo muuzaji amjibu ili kuepusha vitu kama hivyo aweke bei na gari pamoja
 
Nivi zuri kuweka bei ila mengi tu yanaondoka! Nawashukuru ambao wako serious anachukua namba anakuchek, hao ndio wapo serious ba wanapata magari safi kwa bei nzuri, a akiona gari haipo hapa basi hua anauliza na anapata! Mtu ambae hana nia ya kununua au hana uwezo wa kununua basi utaona anaanza porojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…