Hiyo Hilux pickup bei gani?mkuu hapo kupanga pamoja na bei hapa jf napata kamtihani kidogo! ila utakayoipenda niambie nitakupa bei humu humu na kama utapenda pia namba zipo hapo nitakupa pia na picha zaidi na bei
Siku hizi watu wanafanya unyama; gari imechokaa mtu anabandika namba D mnayotaka anakuuzia.Ntafutie harrier new model iwe namba d,iwe 4 cylinder ya kulenga.....
Ova
Siku hizi watu wanafanya unyama; gari imechokaa mtu anabandika namba D mnayotaka anakuuzia.
Ntafutie harrier new model iwe namba d,iwe 4 cylinder ya kulenga.....
Ova
Suzuki keingoja aje
ukikosa kwake nitafuteGari Ya Milion 3 Zipo?
sawa kiongozi ,atakuja pm tuMwambie akucheki tu hiyo.. mm sina
Eti mpaka tumfuate uchochoroni(PM)Tatizo lenu mnaambiwa kwenda shule mnakimbia kimbia tu hata kuandika matangazo hamjui mnakuja kusumbua watu hapa.
Piga picha magali yote weka bei kwa kila gali acha uzembe