Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

Kama unahitaji mpishii wa kupika kwenye shughuli yako yoyote au mgahawa, nipo tayari kufanya kazi

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
Habari Zenu Wakuu.

Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi.

Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY, SEND-OFF, BIRTHDAY, MSIBA, GRADUATION nk au kuwa mpishi wa kwenye MGAHAWA wako Nipo tayari. POPOTE PALE NAKUJA KUFANYA KAZI

Naweza Kupika BIRIANI, PILAU NYAMA/KUKU/SAMAKI, NDIZI NYAMA/UTUMBO, WALI MWEUPE/MAUA, MANDI, KUKU CHOMA, BITES(kachori, sambusa, chipsi, bagia, katresi nk).

IMG_20220418_134502_380.jpg
Kuku.jpg
mpishii .jpg
Ndizi.jpg
NDIZI 2.jpg
SAMAKI .jpg
IMG_20220418_140438_879.jpg
IMG_20220417_171015_071.jpg
IMG_20220527_160440_530.jpg

Pia kama utaitaji tupike tukuletee pia Tunakupikia na Kukuletea kwa Wakati Unaoitaji tena Kikiwa bado cha Motoooo.
KWA MAWASILIANO:
Piga/Whatsapp: 0657 33 2814
Email: mpishimashuhurini@gmail.com
IG: mpishii_
Magomeni, Dar es Salaam
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI🙏🙏
 
kazi njema kaka,ila kwa kukushauri tu ungeweka na bei iyo ingesaidia sana kupata soko...mfano kulisha chakula cha watu 50 ama 100 ni shilingi kadhaa,ila ni ushauri tu unaweza ukauchukua ama ukaupuzia tu
 
Asante Sana, Ni Ushauri Mzuri sana Na Hakika Unafaa na sio wa kupuuzia, Lakini Niliwaza Kulingana na Aina ya vyakula Ninavyoweza kupika, Kila chakula kina maelezo yake na Bei zake hivyo nikaona nimpe mteja uamuzi wa kuchagua aina ya chakula anachoitaji alafu mimi nitamwambia gharama zake au Kuongea zaidi na kushauriana na kuona ni kwa namna gani nitafanya kazi iliyo bora zaidi kwake.

NB:Uaminifu, Usafi, Chakula chenye Ladha na kuhakikisha chakula kinakuwa tayari kwa wakati ndio msingi mkuu wa kazi yangu.
Pia kwa mteja mpya Lazima apate punguzo la bei na kuhakikisha tunajenga uaminifu wa kufanya nae kazi zaidi.
 
Habari Zenu Wakuu.

Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi.

Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY, SEND-OFF, BIRTHDAY, MSIBA, GRADUATION nk au kuwa mpishi wa kwenye MGAHAWA wako Nipo tayari. POPOTE PALE NAKUJA KUFANYA KAZI

Naweza Kupika BIRIANI, PILAU NYAMA/KUKU/SAMAKI, NDIZI NYAMA/UTUMBO, WALI MWEUPE/MAUA, MANDI, KUKU CHOMA, BITES(kachori, sambusa, chipsi, bagia, katresi nk).

View attachment 2257168View attachment 2257169View attachment 2257170View attachment 2257171View attachment 2257173View attachment 2257174View attachment 2257175View attachment 2257176View attachment 2257177
Pia kama utaitaji tupike tukuletee pia Tunakupikia na Kukuletea kwa Wakati Unaoitaji tena Kikiwa bado cha Motoooo.
KWA MAWASILIANO:
Piga/Whatsapp: 0657 33 2814
Email: mpishimashuhurini@gmail.com
IG: mpishii_
Magomeni, Dar es Salaam
ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI🙏🙏
Upo vizuri...ebwana sii ufungue mgahawa
 
Hiyo Chakula Hapo Iko Sawa Sawa Kwa Muonekano

Ukipata mtaji, nitafute nikupe wazo lingine unaloweza kufanyia kazi...kila la kheri.
 
Back
Top Bottom