Kama unaikumbuka Mitandao hii ya Bongo ya Miaka ya 2000s wewe ni legend mwenzangu

Namkumbuka sana jamaa yangu,ameshatangulia mbele ya haki,ye alikuwa akienda sehemu moja hivi katika internet cafe,kwa lengo moja hasa kunyemelea vibinti vya watu,na sijui alikua na mzizi, maana alikuwa kuwanasa ni mara kwa mara.ilikuwa mkoa fulani kanda ya ziwa.rip
 
Waptrick

Kipengele Cha Wapdam 18+
Waptrick ilinipa demu enzi hizo mtoto mmoja wa kihaya Tokea gongo la mboto , niseme ya moyoni sijapataga demu anakata viuno kama yule huku duniani, narudia Tena yule mwanamke hajapata kutokea Tena maishani, nimemtafta Kila Kona ya nchi nimhonge hata IST Bado simuoni ,

Huwa najiuliza ule msemo wa pengo lake halitazibika walikuwa wanamsema yeye au ilikuwaje, ile ngare ikizama ghetto Moja inakuja na vizawadi flani halafu inakuogesha maji baridi si unajua Jooto ya dar aisee Basi inashusha godoro chini inafanya Fujo hapo chini , mara kama inataka ikupe mara inabana basi mkimbizane chumba kizima finally inakupa wewe ulishataja majina yenu yote na vijiji vyenu .hapo mnakata viuno taratibu kama mnakaribia kufariki vile , itakwambia ongeza speed , shika usikojoe kwanza aisee yupo wapi yule mwanMke Kuna IST ipo tu hapo Haina kazi tumpe kama zawadi maana kwangu alizaliwa pekee yake .
Nilikuwa nikitoka shona Ile manzi ni mwendo wa kutafta ovacado lilipo ili akili yangu n mwili urudi nimtambue kuwa ni binadamu sio jini
 
kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo.

Hii ni mitandao iliyokuwa maarufu

Jamiiforums - kwasasa jamii forums (huu nimeanza kuutembelea 2007)

View attachment 3459177

Dar hot wire (ulikuwa mtandao kama instagram ya kujua habari za celebrities )
View attachment 3459178

Darchat (baadae ikaitwa Marafiki.com) - Kuna wadau ilikuwa haipiti siku bila kuja kulogin, nlidhani wanatafuta marafiki 😂

View attachment 3459203

Gangwemobb (website ya kina Inspekta Haroun ila kulikuwa na vitu vingi vya wasanii wa bongo)

View attachment 3459195

ITV (kufatilia ratiba ya vipindi)
View attachment 3459193

Mitandao mingine nje ya bongo

Hotmail.com - hii ni email, nakumbuka niliitengezea shule yangu ya msingi email, walimu walinipa respect 😂 wanafunzi wachache wa shule za sekondari waliacha kuandikiana barua walihamia email.

View attachment 3459200

Miniclip.com (mtandao wangu wa kwanza kuujua, nilipenda sana games)

View attachment 3459183
Yahoo chat ilinipa demu kutoka Kilimanjaro, alikua mke wa askari polisi. Alipanda bus very expensive tukaonana Korogwe (Tanga)...... nimeokoka ila namkumbuka.
 
kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo.

Hii ni mitandao iliyokuwa maarufu

Jamiiforums - kwasasa jamii forums (huu nimeanza kuutembelea 2007)

View attachment 3459177

Dar hot wire (ulikuwa mtandao kama instagram ya kujua habari za celebrities )
View attachment 3459178

Darchat (baadae ikaitwa Marafiki.com) - Kuna wadau ilikuwa haipiti siku bila kuja kulogin, nlidhani wanatafuta marafiki 😂

View attachment 3459203

Gangwemobb (website ya kina Inspekta Haroun ila kulikuwa na vitu vingi vya wasanii wa bongo)

View attachment 3459195

ITV (kufatilia ratiba ya vipindi)
View attachment 3459193

Mitandao mingine nje ya bongo

Hotmail.com - hii ni email, nakumbuka niliitengezea shule yangu ya msingi email, walimu walinipa respect 😂 wanafunzi wachache wa shule za sekondari waliacha kuandikiana barua walihamia email.

View attachment 3459200

Miniclip.com (mtandao wangu wa kwanza kuujua, nilipenda sana games)

View attachment 3459183
Mzeya umesahau mig33 ya kuokota totoz kabla ya tinder na badooo
 
Waptrick ilinipa demu enzi hizo mtoto mmoja wa kihaya Tokea gongo la mboto , niseme ya moyoni sijapataga demu anakata viuno kama yule huku duniani, narudia Tena yule mwanamke hajapata kutokea Tena maishani, nimemtafta Kila Kona ya nchi nimhonge hata IST Bado simuoni ,

Huwa najiuliza ule msemo wa pengo lake halitazibika walikuwa wanamsema yeye au ilikuwaje, ile ngare ikizama ghetto Moja inakuja na vizawadi flani halafu inakuogesha maji baridi si unajua Jooto ya dar aisee Basi inashusha godoro chini inafanya Fujo hapo chini , mara kama inataka ikupe mara inabana basi mkimbizane chumba kizima finally inakupa wewe ulishataja majina yenu yote na vijiji vyenu .hapo mnakata viuno taratibu kama mnakaribia kufariki vile , itakwambia ongeza speed , shika usikojoe kwanza aisee yupo wapi yule mwanMke Kuna IST ipo tu hapo Haina kazi tumpe kama zawadi maana kwangu alizaliwa pekee yake .
Nilikuwa nikitoka shona Ile manzi ni mwendo wa kutafta ovacado lilipo ili akili yangu n mwili urudi nimtambue kuwa ni binadamu sio jini
😂 kashawekwa ndani huyo

Ila Waptick nimeitumia sana, sikumbuki kama kulikuwa na option ya kuchati au kutumiana meseji
 
kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo, Enzi hizo kuunganishwa internet uwe na simu ya mezani ya ttcl kupitia nyaya za nguzo zao.

Hii ni mitandao iliyokuwa maarufu

1. JAMIIFORUMS- kwasasa jamii forums (huu nimeanza kuutembelea 2007)

View attachment 3459177

2. DAR HOT WIRE (ulikuwa mtandao kama instagram ya kujua habari za celebrities )
View attachment 3459178

MITANDAO YA KUTAFUTA MARAFIKI NA WAPENZI

  • Darhotwire - haukuwa mtandao wa habari tu, hadi kuchati

GANGWEMOBB - website ya kwanza kumilikiwa na wasanii, Gangwe Mobb ni kundi la Inspekta Haroun, kulikuwa na habari za Gangwemobb na wasanii wengine

View attachment 3459195

ITV (kufatilia ratiba ya vipindi)
View attachment 3459193

HOTMAIL EMAIL - sikuhizi kuna @gmail.comenzi hizo iliyotamba ni hotmail.com, nakumbuka niliitengezea shule yangu ya msingi email, walimu walinipa respect 😂 wanafunzi wachache wa shule za sekondari waliacha kuandikiana barua walihamia email.

View attachment 3459200

MINICLIP - watoto wenzangu wa enzi hizo wakija niliwafungulia huu mtandao, games kibao

View attachment 3459183
Rahatupu
 
Back
Top Bottom