Kama unaikumbuka Mitandao hii ya Bongo ya Miaka ya 2000s wewe ni legend mwenzangu

Namkumbuka sana jamaa yangu,ameshatangulia mbele ya haki,ye alikuwa akienda sehemu moja hivi katika internet cafe,kwa lengo moja hasa kunyemelea vibinti vya watu,na sijui alikua na mzizi, maana alikuwa kuwanasa ni mara kwa mara.ilikuwa mkoa fulani kanda ya ziwa.rip
 
Waptrick

Kipengele Cha Wapdam 18+
Waptrick ilinipa demu enzi hizo mtoto mmoja wa kihaya Tokea gongo la mboto , niseme ya moyoni sijapataga demu anakata viuno kama yule huku duniani, narudia Tena yule mwanamke hajapata kutokea Tena maishani, nimemtafta Kila Kona ya nchi nimhonge hata IST Bado simuoni ,


Huwa najiuliza ule msemo wa pengo lake halitazibika walikuwa wanamsema yeye au ilikuwaje, ile ngare ikizama ghetto Moja inakuja na vizawadi flani halafu inakuogesha maji baridi si unajua Jooto ya dar aisee Basi inashusha godoro chini inafanya Fujo hapo chini , mara kama inataka ikupe mara inabana basi mkimbizane chumba kizima finally inakupa wewe ulishataja majina yenu yote na vijiji vyenu .hapo mnakata viuno taratibu kama mnakaribia kufariki vile , itakwambia ongeza speed , shika usikojoe kwanza aisee yupo wapi yule mwanMke Kuna IST ipo tu hapo Haina kazi tumpe kama zawadi maana kwangu alizaliwa pekee yake .
Nilikuwa nikitoka shona Ile manzi ni mwendo wa kutafta ovacado lilipo ili akili yangu n mwili urudi nimtambue kuwa ni binadamu sio jini
 
Yahoo chat ilinipa demu kutoka Kilimanjaro, alikua mke wa askari polisi. Alipanda bus very expensive tukaonana Korogwe (Tanga)...... nimeokoka ila namkumbuka.
 
Mzeya umesahau mig33 ya kuokota totoz kabla ya tinder na badooo
 
Vipi Hi5, mi nilipata marafiki kadhaq ambao hadi Sasa Bado ni marafiki
 
πŸ˜‚ kashawekwa ndani huyo

Ila Waptick nimeitumia sana, sikumbuki kama kulikuwa na option ya kuchati au kutumiana meseji
 
Rahatupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…