Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Ukiweza eleza zaidi, itapendeza Sana
 
Ebwana vipi kuhusu withdraw na deposit wameshaweka sawa?

- So far narecommend tumia pepperstone broker

- Deposit kwa credit card (ABC Bank au Equity) direct inakata, within 2 minutes

- Withdraw direct to credit card (ABC Bank) , inachukua siku 2 - 3

- Mpesa option ishakua kimeo mpk hapo watakapo resolve na BoT. Lini hatujui
 
Nakubali
 
Mkuu jaribu kuadvance huduma zako .
Una maana passport size unatoa kwa kutumia l382 ?. Hii printer haiko designed kufanya shughuli hiyo hata quality yake ni ndogo mno labda umesema kwa uswahili uko. Jitahidi upate l800, 805, 850 na kuendelea. Hizi zina uwezo mkubwa.

Na ukiwa na mtaji tafuta Canon ir 3300 photocopy machine, yenyewe ni economy sana utaprint B/W na copy. Ukisikia copy zinatolewa tsh25 basi jembe ni hilo. Tatizo la hp printers unazotumia ni gharama kubwa kuziendesha.
 
Weka nyumba rehani au uza kiwanja
 
ndo shda ya viongoz wetu
 
Mtaji lazina uwe zaidi ya 6/7m.. ukinunua bajaji 7.2m na kuitoa mkataba wa miezi 10.. kila siku anakuletea hesabu ya 30k.. na service kwake ww ni hesabu tuu
ni udhaifu wa akili na mawazo kutoa 7m ili uingize 20k au 30k ni ujinga... wakati kipindi hicho wenzako wana mtaji wa 400k na kila siku wanakunja 250k kama faida
 
Huu uzi mzuri sana kila nipatapo muda huwa naupitia kupata mawazo mapya, Wachangiaji wote wametoa mawazo mazuri sana asee amini kuna watu watakaofanikiwa kupitia wazo lako unaweza usipate shukrani lakini amin tu kuna watu watafanikiwa kupitia wewe,. Mzee wa matoroli CONTROLA asee wazo lako nimeona matunda yake nimeanza na vitano nimemtengenezea Mamushka anajikusanyia tu vijisenti vyake kila siku.
 
Mkuu,

Photocopier yangu CANON IR 2204 haivuti karatasi,
Nikiiwasha inapiga kelele tu.

Msaada wa fundi mzuri.
 
No man. Nafanya hii kazi mwaka wa 4 huu. Nina full connections za kila kitu hata machine zikizingua. Bora ungekuwa wewe mwenyewe....mtu tena mwingine a hell no. Thanks, anyway.
Mkuu,

Photocopier yangu CANON IR 2204 haivuti karatasi,
Nikiiwasha inapiga kelele tu.

Msaada wa fundi mzuri.
 
Ila Bank huwa wanasumbua sana withdraw za credit card sababu huwa zinakuja kama refund. As you know hela ikija kama refund bank hawapati chochote na ndo maana huwa wanazingua. Tofauti na kama ingekuwa wire transfer.

Sijui kwa upande wako imekaaje mkuu.
 
Mimi kabla sijafanya kitu chochote lazima niangalie kama ni scam au lah? Ndio maana mambo kama haya hata huwa sipotezi muda wangu.
 
ukiweka office kiprofesheno zaidi inavutia vijicho vya TRA lakn pia inavutia macho ya WATEJA,,,kiofisi kikiwa rough hata wateja hawavutiwi nacho u know

nmeenda kibanda moja cha mpesa leo kipo local mpaka nkarud zangu mana nlivokiona tu nkajiuliza hv kweli atakuwa na salio huyu?

cc CONTROLA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…