Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kwa kweli inategemeana mtu na mtu na biashara na biashara

Binafsi nishawatuma wateja wanaotumia simu si chini ya wateja kumi waende kwa mafundi wenzangu tena ninao wa amini.

Na nikawahakikishia endapo wakiharibu waje wanidai mimi lakini waligoma waliona bora wasafiri wapeleke mjini.


KISA MAZINGIRA YA MAFUNDI SIMU WENZANGU HAYAKUWARIDHISHA WATEJA WALILALAMA YAMEKAA HOVYO NA WAO SI WASAFI.


 
Duh mkuu umetema madini kama yote
 
Mfano wa hizo au iyo biashara mkuu?
Acha nimsaidie kujibu swali lako, naunga mkono hoja ya mchangiaji kuwa ni ujinga kutoa 5 hadi 7 na kuingiza faida ya 30k au 50k bado ni ndogo sana. Kwa mtaji huo una uwezo wa kuingiza si chini ya 150k per day. Mimi acha nikutajie biashara mbili tu na moja ya wapo naifanya, kuuza soft drink ukifungua ofisi mazingira mazuri mtaji wake hauuzidi 1.5. Na ukiwa na uwezo wa kutengeneza juice nzuri unaweza kuingiza 30 hadi 50k kwa siku..kwahyo kwa pesa hiyo unaweza kupata ofice nne au tano. Biashara nyingine ni mgahawa hii migahwa ya kawaida ambayo unaweza kuanza na M2 kwa kila mgahawa na kufungua migahawa mitatu, hapa zingatia kuweka watoto wazuri na wasafi sana.
Pika msosi mzuri utapiga pesa..
Binafsi juice pekee ofisi mbili natengeneza zaidi ya laki kwa siku kwa mtaji wa M5 tu.. Na hapo msimamizi ni mwingine maana mimi niko mbali kidogo..
 
asee hii ktu inategemea kwa kwel mm nikikuta office iko local local wala huwa hainivutii

kumbuka "ur look express u better than a letter of introduction"
 
Mkuu, mbona L382 inatoa picha fresh tu au?
Acha masihara. Utakuwa sio mtaalam wa picha wewe. Hebu tumia kuanzia l800 na kuendelea halafu picha hiyo hiyo toa katika l382. Mteja utampa huku unaangalia pembeni. Pia unapoteza wateja akipiga akiona quality ni ndogo ataipokea lakini hutomwona akirudia atakuhama tu. Kwa hiyo nakushauri ukitaka kuwa professional tumia hizo printerz ikiwezekana hata camera tafuta Nikon 3100 na kuendelea au Canon 550d na kuendelea. Bila shaka wateja utawapata sana. Ukijua na Photoshop umeua.

Kingine hizo picha za 400 achana nazo kiuhalisia hazikulipi. Wino, photopaper + waste toner counter.
 

Sawa kiongozi nimekuelewa, biashara ya chakula kinacho nikwamisha me kutoifanya ni usimamizi maana ni ngumu kumuamini mtu mie
 
Asante mkuu kwa ushauri
 
Mkuu,

Hivi chimbo la mahitaji ya stationery kwa bei nafuu ni wapi?

Namaanisha ream, counter books, daftari n.k.
 
Mkuu,

Hivi chimbo la mahitaji ya stationery kwa bei nafuu ni wapi?

Namaanisha ream, counter books, daftari n.k.
Nenda pale makutano ya mtaa wa Lindi na Kongo, kuna maduka ya wasomali, utapata vitu vyote.
 
Wewe anzisha tu unaweza ukaanza na vyumba vitatu kisha ukaendeleza taratibu.

Asikwambie mtu chumba kimoja cha guest kinaweza kusomesha mtu mpaka chuo kikuu
Naomba hidhini yako nikufate PM mkuu, kama hautojari.
 
Mkuu upplo sahihi, hapo ni kucheza na products malimbali zinazotoka kwa haraka sabuni, dippers na kadhalika.
 
Usimamizi ni changamoto sana mkuu.
 
Mkuu kwa nini usituincourage kufanya bishara za halali. Hzi zengine zinaweza kuwa na maslahi kdg ila huwezi kuupata ufalme wa mbinguni.


Ya kaisari mpeni kaisari..km wanakulana ww shida iko wap?watahukumiwa kadri ya matendo yao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…