Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Dah alizingua sana ..emotions ni mbaya..
 
v75 [emoji23][emoji23][emoji23] hii pair ukigeuza shingo kwa Dakika tano tu kama hauna RM unakuta majivu kwenye Account.

Ila inapesa balaa...
 
Nimesoma thread na kupitia comments za wachangiaji wote.nimecopy baadhi ya comments hizi kwangu zishakuwa wazo la biashara kabisa.
JF imewahi nipa mawazo mawili ya biashara: biashara mojawapo ni hii ya icecream ,nikatarget eneo la shule nikamuweka wife akomae nayo.Nilimchukulia machine ile na freezer.wife anaitwa mama cone sasa hivi ananishukuru sana 20-25 faida analaza,tunampango wa kuitanua zaidi.hizi biashara za kipuuzi watu wanaziona zina pesa nyingi sana na unaweka mtaji mdogo sana kinachotakiwa ni kukaza sana

Mkuu Manengelo huwa nafatilia sana harakati zako na comments zako kwenye nyuzi tofauti ,nitakuja huko uliko niangalie upopo ukoje kwani kuna classmate wangu primary yuko huko anafanya kama unachofanya huko
 
UMEWEKA POROJO NYINGI SANA MKUU,
ILA CONCERN YAKO I HIYO PARAGRAPH YA MWISHO.

AMEKUSIKIA,
VERY SOON ANAKUJA KUKUPA MWONGOZO!!!
 
Mkuu hebu elezea vizuri kuhusu hii
 
Mkuu coment zako nazielewaga kichizi yan....una kitu kama saikolojia ya biashara hv,big up sn ka' mkubwa
 
Asante wangu nilikuquote huku mara nyingi nikajua msg zishakulemea nikakupm samahani dear ila naimani ukipata wasaa na mimi nitakuwa kwenye list ya unaowaelekeza ,,
Mno marangapi mpendwa..wengi wamekuja pm na nimewaelekeza ukiona sijajibu basi ujue nilikuwa na mambo mengi ..sina hinda za kumnyima mtu nijuacho.
 
Mambo vipi mkuu Sniper,

Bank ya Equity kwenda Skrill inagoma. Ila nikituma wire transfer moja kwa moja pepperstone itaenda? Equity wana credit card au hizi hizi debit unamaanisha zinapokea pesa from abroad?

Na Bank ABC napo hali ikoje. Sina account ABC ila nina friend pale anafanya kazi.
Ikiwezekana iwe tu wire transfer moja kwa moja kwa broker na kutoa hivyo hivyo one way ije kwenye account yangu.

Naomba ufafanuzi please.
 
Mtaji ni milioni ngapi kujenga guest
 
Hapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447
Biashara hii imeshachuja ila watu Bado wanaendelea kukaririshana kwamba inalipa.
Labda inaowalipa ni wale wanaoifanya hii biashara kwenye maeneo maalum Kama kwenye stendi kubwa,kwenye malls Kama millennium tower,mlimani city,Kibo complex,Ubungo plaza coz sehem hizo Kuna mkusanyiko wa watu wanaofanya transactions kubwa.
 
@PTER,Hii awamu biashara imekuwa ngumu Sana..Kama huku tunakotegemea uvuvi yaan raia hawana hela Kama zaman..DAMN
Kwa Nini mkuu hela haipatikani kwenye uvuvi wakati samaki wapo tu kila siku baharini na wametengenezwa na mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…