Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

umetisha mkuu
 
Mimi nafanya biashara ya mitandio na vijora nanunua dar napeleka mkoani....huwa nanunua mitandio mikubwa kkoo yale maduka ya nje kwa Bei ya 8000 na midogo kwa 7000.

Ila kuna mtu ameniambia kuna chimbo apo kkoo ambapo hao jamaa wanaoniuzia kwa 8000 wao ndo wanaenda kununua kwa Bei ya jumla...

Naombeni msaada wenu mnielekeze Kwenye hilo chimbo la mitandio Mana naskia Kwenye hlo chimbo ni Bei Chee tuu.
 
Ukipata jibu naomba uni tag
 
1241 Ndio comment ya mwisho. Hongera sana kwa wote munao share maarifa ili wengine tuone nini cha kufanya. Naomba tuendelee kuja na mawazo mengi huku tukikumbuka kwenda kupiga kura tarehe 28/10/2020
 
Ukinunua hiyo bei unauza bei gani?
 
Wakuu wajuzi wa akili
Inamaana biashara ya bodaboda tofauti na kukaa kijiweni na kusubiria abria Kuna kingine unaweza ifanyia na ikaingiza kipato ?
 
Kuna ule uzi wa 'wafanyabiashara wa mikoani wanaochukua bidhaa.......' em jaribu kuutafta utapata kila kitu humo
 
Wale washenzi sana,nawadai dola 2000,ukitaka kutoa inagoma...
Hahah ulikuwa unaambiwa unapigwa ukawa unabisha kinoma...walivo wajinga wanakuwekea min kuwithdraw ni 250$ ukifikisha wanakuambia 500$ ukifikisha inaongezeka tena.

inshort hakuna hela ila unakuwa umewapigia kazi kubwa sana ya advertisement.
Nikianzisha kampuni hapa bongo ntatumia hiyo njia kuadvertise naweka hela in Tzsh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…