Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Unanidai
 
Huu uzi unamanufaa sana endapo tukiwa wawazi na wakweli wa kusema ukweli ili na wengine tupate cha kufanya.
 
Safii Mkuu, nimepata kitu.
 
mm najishughulisha sana na kutengeneza keki jamanikama kuna mtu mwenye even yoyoote ile iwe kipaimara, sendoff, kitchen party, kumtoa mtoto nje, pongezi, natengeneza keki za aina mbalimbali karibuni mnipm

Mbona hausemagi?

Nichek tarehe 12 nahitaji keki
 
Yeah..na wengine wa kuwatumia mikoani..

Na uwe mvumilivu maana kuna wale wateja wa kumpelekea mzigo alipo mfano eneo la makutano ni kituoni umefika kituoni mwenzio anafika baada ya nusu saa.

Uliniokoa madam

Sasa hivi nauza mkorogo wangu mwenyewe nachanganya na product za Thailand na Dubai

Aisee wanawake wanapenda hivi vitu silali njaa pesa naiona

Soon nahamia kwenye serum Ila kupata EO imekuwa shida
 
Watu wengi wanaweza kununua ama kutengeneza bidhaa ishu kufikia wateja na kuwapa huduma stahiki .mm nanunua samaki nakaanga napita mlango kwa mlango mtaa kwa mtaa..ila biashara hii mwanzoni unaweza kulia ila ukishapata wateja ni mteremko

Nilifanya hii samaki nilikuwa natoa Singida

Wateja wakakolea nikaongeza mtaji nikamtumia supplier mpaka Leo samaki Hawajanifikia.
 
Vipi maendeleo
 
Uliniokoa madam

Sasa hivi nauza mkorogo wangu mwenyewe nachanganya na product za Thailand na Dubai

Aisee wanawake wanapenda hivi vitu silali njaa pesa naiona

Soon nahamia kwenye serum Ila kupata EO imekuwa shida
Hee nawe ulipiga kumbe, safi sana

Mm nafanya pia japo nilichukua mda mrefu kufanya maamuz, nilianza mwez wa nne.. aloo kwakweki abarukiwe sana, biashara nzuri sana , sasa hv ndio nayoitegemea kwa 100%
 
Nilifanya hii samaki nilikuwa natoa Singida

Wateja wakakolea nikaongeza mtaji nikamtumia supplier mpaka Leo samaki Hawajanifikia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…