kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Nakusubiri wewe tu ili nije mjini na shangazi kaja yangu mgongoni sitaki mchezo baada ya muda narudi kwetu mtu mwingine kabisaNakumbuka mkuu,kila ninapoona ID yako nakumbuka deni letu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusubiri wewe tu ili nije mjini na shangazi kaja yangu mgongoni sitaki mchezo baada ya muda narudi kwetu mtu mwingine kabisaNakumbuka mkuu,kila ninapoona ID yako nakumbuka deni letu.
Pale unanunua vipande. (Units) ambazo unaweza kununua kutoka mifuko mbali mbali. Uzuri ni kwamba huwa vinapanda thamani. Ninachopenda ni kuwa ukihitaji fedha sio rahisi kuichukua utahitaji kuuza vipande ambayo itachukua wiki moja. Unaweza kupata tasrifa zao kupitia mitandao ya kijamii, au kufika ofisi yao iliyopo sukari house posta. UTT AMIS.wanatoa asilimia fulani kwa mwaka kwa pesa unayoweka kwao ama hawatoi kabisa?
Wanapatokana wapi hawawanatoa asilimia fulani kwa mwaka kwa pesa unayoweka kwao ama hawatoi kabisa?
Hii statement umeiandika kiwepesi wepesi sana lakini ina ujumbe mkubwa sana.Wasomi ndio maana biashara zinawashinda mna Mambo mengi km unga wa ngano .
Kwa hiyo kuna kupata na kukosa? Au investment ina kupata tu hiyo ka vile zile interest za bank ukiweka fixed?Pale unanunua vipande. (Units) ambazo unaweza kununua kutoka mifuko mbali mbali. Uzuri ni kwamba huwa vinapanda thamani. Ninachopenda ni kuwa ukihitaji fedha sio rahisi kuichukua utahitaji kuuza vipande ambayo itachukua wiki moja. Unaweza kupata tasrifa zao kupitia mitandao ya kijamii, au kufika ofisi yao iliyopo sukari house posta. UTT AMIS.
Uzuri mwingine unaweza kuweka kwa njia mbali mbali. Napiga picha kipeperushi ukione
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Kwamba aanze sasa kuyafanyia kazi hayo madini ....Usiishie kufuatilia tu acha kazi ujiajiri ufanye kwa vitendo [emoji13][emoji13][emoji13]
Hii iko nje ya mada. Nenda uzi husikawadau ivi nikweli asilimia kubwa ya smart tv na deki zetu hizi huwa hazina uwezo wa kusoma flash ya uwezo wa 64gb kwenda juu?
note: flash ambazo ni ORIGINAL.
mana nimetest kuanzia 8gb mpaka 32gb zinasoma ila 64gb ,128gb chenga ila kwenye subwoofer mp3 zinasoma.
mwenye kujua kiundani kuhusu hili wadau?
Mpaka sasa saving una kias ganNiache kazi? Huo mtaji ntaupata wapi wa kujiajiri sasa[emoji23][emoji23]
Ma sponsor nao wanasemaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa bendi kwenyewe huwa situmiagi mtonyo mkubwa nilivo kabahili[emoji23], basi tu kasalary kenyewe kaduchu mkuu
Inafaa sana coz ina seat sita na ukipata wateja wake pesa n nzuri kuliko hv vigar vya 4seatHivi Noah inafaa kwa uber?
Bolt wanaikubali Noah hata alphadLabda usajili kwa gari nyingine ndogo zaidi halafu ukawa unawafuata wateja kwa noah, ila yenyewe sidhani kama inakubaliwa
Mansponsor wenyewe ndiyo kama wewe hivo wabahili kama nini😂Ma sponsor nao wanasemaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ma nsponsor tulipitia kipindi kigumu hapa katkat ... Lakini usijal soon tunarudi kwenye form ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mansponsor wenyewe ndiyo kama wewe hivo wabahili kama nini[emoji23]
Naomba kueleweshwa ipi ni nzuri kati ya jikimu, wekeza na ukwasi??Namna ya kuuongeza. Toa asilimia kumi kila mwezi fungua akauti UTT AMIS weka pale. Ukiweka isahau. Fanya kama umenunua kiatu, au mchele ukala. Baada ya mwaka mmoja nitafute nitakwambia cha kufanya.
Utasoma ripoti ya mwenendo wa vipande kwa zaidi ya miaka mitano na kujiridhisha kama thamani yake inapanda, inashuka au iko stable. Hii ni tofauti sana na kununua share kwenye soko la hisa.Kwa hiyo kuna kupata na kukosa? Au investment ina kupata tu hiyo ka vile zile interest za bank ukiweka fixed?
Ni kweli mpwa hebu fanya kunitag ukikutana na dini la maanaNgoja niupitie tena huu uzi naweza pata Idea maana mjini kunazidi kuwa Kugumu mwisho tutarudi Kyela kulima.
Bado?Ngoja niupitie tena huu uzi naweza pata Idea maana mjini kunazidi kuwa Kugumu mwisho tutarudi Kyela kulima.