mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Mkuu mtaji wako umesimama kwenye sh. Ngap umenipa hasira sanaHapo chini gawanya kwa siku 31 za August. Halafu hiyo ofisi moja ziko tatu hizo zenye performance inayo karibiana. Uzuri ni kwamba hizi wala hazina kazi nimechanganya na stationeries zinaingiza zaidi kuliko hizo kila moja.View attachment 1247447