Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Mtaji kuanzia laki moja na kuendelea ndo itakuwa fresh, lakini mimi nilianza na tsh 30k saiv naona faida hata ya 25k, had 50k siku nyingine kama faida.
Hapa parcel moja nauza tsh 2000 ..nikiwa na parcel 50 tu nikipita ofisi tano zinaisha zote..

Hili hii biz ..pia ongezea na value kidogo, yani kuwa mchangamfu, mchekeshaji hehehe hukosi wateja..

Wanaotafuta Ajira achezi kupoteza Muda hakuna ajira kwa sasa ila kazi zipo za kufanya. Ondoa aibu, mimi nakutana na wenzangu niliomaliza nao chuo, wapo tu eti wamejishkiza, kimshara chenyewe 3k,4k,5k, ukiotea sehemu nzuri ndo 10k hapo ujala, nauli, hujui ni lini utapata kazi ya kueleweka..

Nimegundua Kwamba watu ambao "hawajasoma" wanaingiza pesa nzuri sana kwa sababu hawana cha kupoteza. Wenzangu na mie wenye vi Degree vyetu tunachagua kazi za kufanya..

Mithali 10:4
Mkuu nitakutafuta unipe darasa.
 
Sasa Ongeza Na Ujuzi Wa Laptop
Kwa Siku utalala Na 200k

Mimi Nipo Huku Mkoan Napata Hadi 200k Per Day Nafanya Computer Na Simu

Sema Nina Vifaa Haswaa Ofisi Yangu Kam Mahabara Nina Mpak Microscope Nilinunua Ebay 1.2M Mpaka NIpata.

Now Nipo Namalizia Kupaua Ndugu.

WOTE MSIO NA AJIRA LAKIN UNAPENDA ELECTRONICS KOMAA NA COMPUTER AND PHONE REPAIR UTANIKUMBUKA

UPDATES:

Watu wananifuata PM Wananiuliza Watajifunzaje, Jamani Hivi Vitu Ni Practical Sana, Unahitaji Basic Knowledge Tu.

Na Yote Ipo Kwenye INTERNET Sijawahi Kufundishwa na Mtu Kuhusu Electronics Au Software Za Simu Na Laptop
Ni Kujifunza Then Unharibu Unasimama Mpaka Mwisho

Nilishazima Simu Kama 20 Za Watu, Ni Kweli Lakini Huwez Amin Kipind Hicho Nilijifunza Sana.

USIOGOPE, JITOE ANZA KUJIFUNZA.

Pita Hapa Upate Mwangaza Kidogo

Nimekuelewa mku, me pia nilikuwa fundi wa computer mzuri tu, nikachukuliwa na kampuni furani kufanya kazi ila badaye wakanidhurumu malipo yangu ya mwaka mzima, nilipodai zaidi wakasema lete mikataba, na nilifanya kazi kilafiki tu sikuwa na mikataba, nilipotea mazima kwenye fani hiyo nikabadiri kazi
 
Mtaji kuanzia laki moja na kuendelea ndo itakuwa fresh, lakini mimi nilianza na tsh 30k saiv naona faida hata ya 25k, had 50k siku nyingine kama faida.
Hapa parcel moja nauza tsh 2000 ..nikiwa na parcel 50 tu nikipita ofisi tano zinaisha zote..

Hili hii biz ..pia ongezea na value kidogo, yani kuwa mchangamfu, mchekeshaji hehehe hukosi wateja..

Wanaotafuta Ajira achezi kupoteza Muda hakuna ajira kwa sasa ila kazi zipo za kufanya. Ondoa aibu, mimi nakutana na wenzangu niliomaliza nao chuo, wapo tu eti wamejishkiza, kimshara chenyewe 3k,4k,5k, ukiotea sehemu nzuri ndo 10k hapo ujala, nauli, hujui ni lini utapata kazi ya kueleweka..

Nimegundua Kwamba watu ambao "hawajasoma" wanaingiza pesa nzuri sana kwa sababu hawana cha kupoteza. Wenzangu na mie wenye vi Degree vyetu tunachagua kazi za kufanya..

Mithali 10:4
Ndio biashara yangu kwa sasa namshukuru Mungu kwa muda mfupi nimeona nuru, kwa sasa nipo mapumziko nimechia mfanyakazi anapambana , kuanzia march Mungu akitupatia uzima narudi kivingine kabisa , kuanzia uandaaji mpka kutafuta oda ,
 
Hongera mkuu. Mimi kila ijumaa hua ninashusha mzigo wa apple mitaa niliyozoeleka kkoo. Nanunua box 55,000 ambalo lina apples 135 nauza @600, au box la apples 110 kwa same price nauza @800...au box la apples 80 nauza 1000 nanunua Mivinjeni hapa zinakua fresh ambazo zimehifadhiwa katika ubaridi sahihi toka zimefika from SA. Kwa lisaa nakua nimemaliza.
Wateja wanapenda as haziwi zile zimepigwa jua afu zinakua ngumu. So nakua na uhakika wa not less than 20k kila ijumaa na napata za kula mimi na family
Naomba kujua bei ya apple sasa hapo mivinjen mana mhh huku kariakoo sio poa
 
Wakuu habari? Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kukodisha matorolii au guta imekaaje hii..wataalamu naomba msaada nipo DSM.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom