Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Hahaa bendi kwenyewe huwa situmiagi mtonyo mkubwa nilivo kabahili😂, basi tu kasalary kenyewe kaduchu mkuu
Namna ya kuuongeza. Toa asilimia kumi kila mwezi fungua akauti UTT AMIS weka pale. Ukiweka isahau. Fanya kama umenunua kiatu, au mchele ukala. Baada ya mwaka mmoja nitafute nitakwambia cha kufanya.
 
Ntkuwa nauza pia pweza kachori mihogo na vibua .. nahs ntamake 30k per day..😊
Hutaanza kuipata kwasababu ya kuuza vitu hivyo ila kwa moyo huu ukikaza utaipata ukichanganya na mambo mengine kikubwa uvumilivu na consistency
 
Namna ya kuuongeza. Toa asilimia kumi kila mwezi fungua akauti UTT AMIS weka pale. Ukiweka isahau. Fanya kama umenunua kiatu, au mchele ukala. Baada ya mwaka mmoja nitafute nitakwambia cha kufanya.
Wow huu ushauri ni mzuri mkuu, thank you itabidi nifanye hivo maana saving kwa hiari ni ngumu😐
 
Namna ya kuuongeza. Toa asilimia kumi kila mwezi fungua akauti UTT AMIS weka pale. Ukiweka isahau. Fanya kama umenunua kiatu, au mchele ukala. Baada ya mwaka mmoja nitafute nitakwambia cha kufanya.
Wanatoa asilimia fulani kwa mwaka kwa pesa unayoweka kwao ama hawatoi kabisa?
 
Back
Top Bottom